Technologia ya vyombo vya dola vya ufaransa

mabwepand

Member
Joined
Jul 16, 2012
Posts
86
Reaction score
22
Nimefuatilia kwa karibu tukio la ufaransa ila kilichonishangaza hawa jamaa walifanyaje hadi kuona sura za wale vijana wakati walikuwa wamevaa kininja please mwenye uelewa wa technology ndani ya masaa machache tayari walitoa picha zao bila ya vijana kutarajia. Tafadhali wenye uelewa kidogo
 
Ipo Technology Flani Ambayo Nimeisahau Jina,technology Hiyo Ndo Ile Ambayo Mtu Anaweza Tu Kuongea Kwamba Nilimuona Haji,ni Mweusi,ana Sura Pana Kidogo,ana Macho Madogo,mdomo Mkubwa,pua Pana,then Mtaalamu Anachora,hiyo Picha Inakuwa Kama Sura Halisi Ya Yule Mtu,pia Hata Mtu Akivaa Kininja Picha Huwa Inakuzwa Kwa Darubini Maalumu Kali Sana Ambayo Ina Scan Sura Halisi,ni Kama Darubini Ambayo Ina Nguvu Kama X ray,halafu wakati wale magaidi wana escape zile kamera za mitaani CCTV,zilifanyiwa Footage Kutoka Eneo La Tukio Hadi Walipoishia,ikawekwa Intelligency Ya Hali Ya Juu Sana,kingine,wenzetu Hawafanyii Kazi Njaa Kama Sisi,kule Police Ni Police Kweli,anaipenda Kazi Yake Ni Mzalendo,jasusi,jasusi Kweli,yaani Wapo Dedicated Na Kazi Zao,wana Wito Halisi Na Si Njaa,kumbuka Ni Majasusi Wa Ufaransa Ndo Walimkamata Carlos The Jackal Akiwa Kajificha Khartoum Sudan,wale Ni Askari Wa Kweli Hasa Siyo Kama Kova,anayefanyia Kazi Njaa Kuifagilia haramu ccm na kuonea raia wasio na hatia,Tanzania Hakuna Police Wa Kweli Ni Njaa.
 
Kama ulifuatilia lile tukio kwenye tv, baada ya jamaa kufanya lile tukio walienda mbele wakalitelekeza lile gari walilokuwa nalo. ..hivyo police walianzia pale kuchukua alama za vidole kwenye lile gari. ......wale jamaa tayari walikuwa na record mbaya, kuna mmoja alishafungwa miaka ya nyuma na mwenzake alishakuwa na kesi, hivyo kwa taratibu za ulaya ukiwa na msala na ukafikishwa police basi kitu cha kwanza ni kuchukuliwa fingerprint. ....hivyo alama za vidole ndizo zilizowachoma.
 
mkuu umesema vema kabisa
 
Walichokifanya pale sio kitu unachoelezea, imekuwa rahisi kwa sababu ya alama za vidole. ....kama wangekuwa hawana record ya uhalifu basi ingechukua muda kuwakamata. ......wale ndg wana record mbaya na mmoja ameshawahi kufungwa siku za nyuma hivyo record zao pamoja na fingerprints zao zipo
 
Kama ulifuatilia lile tukio kwenye tv, baada ya jamaa kufanya lile tukio walienda mbele wakalitelekeza lile gari walilokuwa nalo. ..hivyo police walianzia pale kuchukua alama za vidole kwenye lile gari. ......wale jamaa tayari walikuwa na record mbaya, kuna mmoja alishafungwa miaka ya nyuma na mwenzake alishakuwa na kesi, hivyo kwa taratibu za ulaya ukiwa na msala na ukafikishwa police basi kitu cha kwanza ni kuchukuliwa fingerprint. ....hivyo alama za vidole ndizo zilizowachoma.

Mkuu Umeongea Kweli,ila Wale Hawakuchomwa Na Alama Za Vidole,alama Za Vidole Ni Hadi Mtu Awe Amekamatwa Then Wanampima Na Kufananisha Na Sampuli Zilizohifadhiwa,ina Maana Hapo Anakuwa Ready Detained Ndo Alama Za Vidole Zinafanya Kazi,wale Magaidi Walikuwa Wamejificha Kwenye Ghala Au Niseme Godauni Nje Ya Jiji La Paris,ndipo Baada Ya Kubaini Kwa Intelligency Iliyokuwa Imewekwa Wakavamiwa Na Ndipo Yakatokea Majibizano Ya Risasi Ndipo Walipouawa,ila Lengo Lilikuwa Ni Kuwakamata Wakiwa Hai Wakakataa Kutii
 
Ipo Technology Flani Ambayo Nimeisahau Jina,technology Hiyo Ndo Ile Ambayo Mtu Anaweza Tu Kuongea Kwamba Nilimuona Haji,ni Mweusi,ana Sura Pana Kidogo,ana Macho Madogo,mdomo Mkubwa,pua Pana,then Mtaalamu Anachora,hiyo Picha Inakuwa Kama Sura Halisi Ya Yule Mtu,pia Hata Mtu Akivaa Kininja Picha Huwa Inakuzwa Kwa Darubini Maalumu Kali Sana Ambayo Ina Scan Sura Halisi,ni Kama Darubini Ambayo Ina Nguvu Kama X ray,halafu wakati wale magaidi wana escape zile kamera za mitaani CCTV,zilifanyiwa Footage Kutoka Eneo La Tukio Hadi Walipoishia,ikawekwa Intelligency Ya Hali Ya Juu Sana,kingine,wenzetu Hawafanyii Kazi Njaa Kama Sisi,kule Police Ni Police Kweli,anaipenda Kazi Yake Ni Mzalendo,jasusi,jasusi Kweli,yaani Wapo Dedicated Na Kazi Zao,wana Wito Halisi Na Si Njaa,kumbuka Ni Majasusi Wa Ufaransa Ndo Walimkamata Carlos The Jackal Akiwa Kajificha Khartoum Sudan,wale Ni Askari Wa Kweli Hasa Siyo Kama Kova,anayefanyia Kazi Njaa Kuifagilia haramu ccm na kuonea raia wasio na hatia,Tanzania Hakuna Police Wa Kweli Ni Njaa.

Hapo juu umenikumbusha movie ya johny english(mr bean)kuna sehem alitakiwa amuelezee muhalifu aliyepambana naye yeye kama mpelelezi wakati mwizi huyo akiondoka na kofia na fimbo ya kifalme,kilichotokea sasa hahaaaaaa.yaan huwa narudia hicho kipande nacheka sana.
Akamalizia na -and a shape of a banana.

Mtaalam akamchora jamaa aliyetajiwa sifa zake,kumuonyesha bean akashtuka,anaulizwa vip.akajibu yaan nimehisi kama tupo nae hapa huyo jamaa,yaan hivyo hivyo wala hujakosea.

Kumbe muongo,katengeneza tukio mpaka mtu.
 
Mkuu Umeongea Kweli,ila Wale Hawakuchomwa Na Alama Za Vidole,alama Za Vidole Ni Hadi Mtu Awe Amekamatwa Then Wanampima Na Kufananisha Na Sampuli Zilizohifadhiwa,ina Maana Hapo Anakuwa Ready Detained Ndo Alama Za Vidole Zinafanya Kazi,wale Magaidi Walikuwa Wamejificha Kwenye Ghala Au Niseme Godauni Nje Ya Jiji La Paris,ndipo Baada Ya Kubaini Kwa Intelligency Iliyokuwa Imewekwa Wakavamiwa Na Ndipo Yakatokea Majibizano Ya Risasi Ndipo Walipouawa,ila Lengo Lilikuwa Ni Kuwakamata Wakiwa Hai Wakakataa Kutii

Kumbuka kuwa wale jamaa walilitelekeza gari walilofanya nalo uhalifu. ...Police walianzia pale kulichukua alama za vidole na DNA.
Wale ndg wawili cherif na said wameshawahi kukamatwa kwa mambo yanayohusu na ughaidi, na mmoja keshawahi kufungwa. ...hivyo kwa ulaya ukishakuwa na record ya ughaidi basi ujue watachukua alama zako za vidole na DNA. ...hicho ndicho kilichofanya police wawajue na watoe picha zao, zile ni picha zao halisi na sio za kuchora hivyo kama wangekuwa na record nzuri ingekuwa tabu kupata hata picha halisi.
kilichofanya wakamatwe ni kitendo Chao cha kukimbia huku wanaacha alama. ...kwani baada ya kutelekeza ile gari walichukua gari nyingine then wakaenda gas station nako walianzisha msala. ...hivyo police wakajua uelekeo wao na wakalizunguka lile eneo wakawa wanawasaka.
 
Mkuu Umeongea Kweli,ila Wale Hawakuchomwa Na Alama Za Vidole,alama Za Vidole Ni Hadi Mtu Awe Amekamatwa Then Wanampima Na Kufananisha Na Sampuli Zilizohifadhiwa,ina Maana Hapo Anakuwa Ready Detained Ndo Alama Za Vidole Zinafanya Kazi,wale Magaidi Walikuwa Wamejificha Kwenye Ghala Au Niseme Godauni Nje Ya Jiji La Paris,ndipo Baada Ya Kubaini Kwa Intelligency Iliyokuwa Imewekwa Wakavamiwa Na Ndipo Yakatokea Majibizano Ya Risasi Ndipo Walipouawa,ila Lengo Lilikuwa Ni Kuwakamata Wakiwa Hai Wakakataa Kutii

Forensic investigation inapofanyika kutafuta wahalifu kama kuna mahali ulishika ujue unaacha signature ambayo kwa kutumia utaalamu inachukuliwa inalinganishwa na finger prints zilizoko kwenye database. Kama walikuwa wahalifu na wakaacha gari, ni hakika kwamba polisi walitumia finger print signature zilizokuwa kwenye hiyo gari. Lakini vile vile hata macho kama kamera ikichukura sura na ikafanikiwa kuona macho bado kitechnolojia inawezekana kutumi signature ya macho kwenye picha kupata mhalifu kwa wenzetu walioendelea kiteknolojia.
 
Umeeleza vizuri, Lakini ikumbukwe kuwa sio lazima sana uwe na record za uhalifu ndipo finger print zako zipatikane hasa huko kwa wenzetu. Kwa mfano hata hapa bongo hilo linawezekana kwa kuwa sasa hivi wananchi wengi wamejiandikisha kwenye vitambulisho vya taifa ni kitendo cha police kuchukua finger prints pamoja picha toka nida na kuziweka katika system zao basi wanamaliza mchezo.
 
walikua wamejivalisha gloves na kufunika sura hata walipokua wanaondoka Kuna mmoja aliokota kiatu na kukitupia ndani ya gari walilotorokea kukwepa kuacha ushahidi... hakuna cha finger print hapo

Kosa walilofanya ni kuongea wakimwambia yule polisi(Ahmed) umekuja kutuua kabla ya kum shoot na waliposema hii tunalipiza kwa kejeli mliomfanyia mtume Mohammed wakati rekodi zao ikiwepo sauti zipo kwenye vyombo vya usalama

hata zile stori Kuna raia kawaona sheli mara meneja kawaona wakiingia kiwandani wakijifanya polisi ni cover tu..walikua kwenye rada ya GIGN

Wiki hii walio wa finance watarestishwa..tega sikio drones zikifyeka Yemen
 
Waliowa finance ndo wanatakiwa watobolewe vichwa.
 
Vita vya Afghanistan vilipoanza marekani aliprogram drones zake zikiona mtu ana futi sita na zaid vilipue mabom. Wadau warefu walikufa sana kwasabab ya osama. Yani kitu hakina ruban kikiona tu mtu mrefu maeneo ya tora bora kinadondosha ki2 kizito chenye ncha kali kikigusa ardhi kinalipuka maamae
 
hawakua na tech yeyote,mmoja alisahau ID ndani ya gari,nikipata mda ntaiweka hapa hiyo id,kisha wakamtambua yuko kwenye database zao,kisha wakajua ana ndugu yake ambae nae alikua anamiss,toka hapo haikua kazi kupata picha kwani walikwenda kupekua kwao.
 
Mtu yeyote mwenye ngozi nyeupe ni hatari. Kumbuken pia majuz tu falme za kiarab abu dhabi yule mwanadada myemen aliyemuua mama mwalim mmarekan alivaa baibui kininja lakin iliwachukua polis waarab masaa24 tu kumtambua na kumtia mbaroni.
 
Nimependa uchambuzi wako kaka

uchambuzi mzuri ila zile picha hzikua za kuchora,huwa wanachora kama hawana source yoyote ya picha na tena kama kuna mtu alimuona.
wenzetu huko ukipelekwa polisi hata kwa kosa dogo lazima wakuchukue picha na alama za vidole na kuziweka database,sasa siku umejichanganya kufanya kosa ukaacha fingerprint hufiki mbali
 
Back
Top Bottom