middo lulyheart
JF-Expert Member
- Mar 18, 2014
- 260
- 98
Et kat ya tecno phantom A+ na tecno zingine zipi ni bora
Leo nimejaribu bwana kuweka Game fulani hivi linaitwa GUNSHIP BATTLE kwenye Tecno Pantom F7 ya jamaa nione performance yake
Mmmmh yaani lina Kwama kwama kama nini..... Ukifanya Tilt ya screen ku-respond inakuwa nzito sanaa...Wakati Game hilo hilo linacheza fresh sana Kwenye Samsung S2 na lipo safi kwenye Graphic...
Linakwama ku download au?
Tecno buy at your own risk
Hiyo n f7 au A+
Nimechukulia Pantom Zote tuu