BLACK MOVEMENT
JF-Expert Member
- Mar 11, 2020
- 5,547
- 14,209
Upinzania ni Idelogy wewe mjinga shida nchi ina wajinga wengi, ndio mnadanganyana kwamba upinzania ni mtu? tena MboweWanapita mulemule alimopita Mrema!
Yule mwingine alikuwa "ananunua" kwa rejareja,"Mama" kachuuza genge zima.
Ndiyo maana tunawaambia humu kwamba CCM bado ipo sana madarakani,ANC na ZANU-PF watatangulia kutoka.
Shida wala siyo Katiba mpya wala tume ya uchaguzi ni kelele za kutaka kuonwa,waitwe kupozwa basi.
Ni kama Handshake ambayo Ruto amesema wazi haitaki vikaanza vitisho vya kuhamasisha maandamano.
Njaa imetuletea Trojan horses kwenye siasa za nchi.
Unaweza chukua nafasi kwani si kila mtu anavuta Oxygen? Au kuna walio kuja Duniani ili wawasemee nyie? Ukiona upinzami haupo wewe chukua Mic anza kazi na sio kulia lia hapaThe whole opposition movement in Tanzania has been deadly poisoned and corrupted difficult to be resuscitated to life just because of honey-smeared bread......too pathetic
Upinzania hata levo ya Familia upo, na Upinzsnia ni Ideology sio Chama wala BenderaLini uliwahi kuwepo?. Japo kazi ya upinzani ni kupinga, lakini sio kupinga kila kitu. Kwenye maslahi ya taifa, tutangulize utaifa, tuwe wamoja, wakweli na tusipotoshe na Uchaguzi 2020 - Je, Tanzania tuna upinzani makini, upinzani wa kweli wa kuing'oa CCM madarakani au bado sana? Nilichoshuhudia leo uzinduzi CHADEMA, kiukweli...
P
Si ndio vizuri? Au na pia wewe si unaweza chukua nafasi yao? Au vipi?Mia mia. Hatari sana. Upinzani umezikwa nchi hii. JPM ametusaidia kujua unafiki wa daraja la juu sana wa wanasiasa wa upinzani Tanzania.
Wewe una akili?Bahati mbaya sana wale wenye vinasaba vya upinzani hawana akili mfano Mr Lema
Kwa nini sasa wewe usiwe mpinzania wa dhamila? toka nje anza kazi, wacha ujingaHawa wapinzani kwa jina na matendo ila mioyo yao na dhamira zao sio wapinzani bali ni wasaka fursa ,mfano yule mkanada anasema eti hategemei siasa kama kazi tukimuuliza atuonyeshe tax return hana chochote
Ni nini hichi ulichokiandika?Si ndio vizuri? Au na pia wewe si unaweza chukua nafasi yao? Au vipi?
Kama upinzani ni "ideology", basi hatuna upinzani. Tanzania hakuna chama chochote chenye "ideology", hata hiyo CCM haina "ideology", maana inadai ina ideology ya ujamaa huku ikifuata misingi ya ukabaila na ufisadi. Huwezi kuwa na ideology isiyolingana na matendo yako.Upinzani ni Idelogy, huwezi iua, Upinzania sio mtu, wala chama, mulienda kusomea ufala shuleni?
Sio technically, bali ni uhalisia hakuna upinzani.Kama ulivyokuwa uhuru wa kwenye makaratasi basi tambua kuna upinzani wa kwenye makaratasi.
Jukumu kubwa la upinzani ni kutoa alternative solutions/polices/choices dhidi ya chama kilichokuwepo madarakani.
Hivi sasa hapa bongo kuna upinzani wa kwenye makaratasi tu, wote wameunga juhudi kwa maneno yao (ACT), kwa matendo yao (CHADEMA).
Ushauri wangu hasa kwa vijana wakereketwa wa hivi vyama, kama hauna maslahi ya moja kwa moja acha kupoteza muda wako na kuhatarisha usalama wako ikiwemo kuharibu future yako.
Ila kama una maslahi, endelea kulamba asali kwa raha zako, Tanzania ndio hii hii, ukijifanya mzalendo sana wenzako wanalamba kibuyu cha asali wazi wazi bila kujificha.
Ni hayo tu.
Kwani lini kulikuwa na upinzani zaidi ya upigaji?Kama ulivyokuwa uhuru wa kwenye makaratasi basi tambua kuna upinzani wa kwenye makaratasi.
Jukumu kubwa la upinzani ni kutoa alternative solutions/polices/choices dhidi ya chama kilichokuwepo madarakani.
Hivi sasa hapa bongo kuna upinzani wa kwenye makaratasi tu, wote wameunga juhudi kwa maneno yao (ACT), kwa matendo yao (CHADEMA).
Ushauri wangu hasa kwa vijana wakereketwa wa hivi vyama, kama hauna maslahi ya moja kwa moja acha kupoteza muda wako na kuhatarisha usalama wako ikiwemo kuharibu future yako.
Ila kama una maslahi, endelea kulamba asali kwa raha zako, Tanzania ndio hii hii, ukijifanya mzalendo sana wenzako wanalamba kibuyu cha asali wazi wazi bila kujificha.
Ni hayo tu.
We hujui kitu, CCM ndio inaliwa hivyo! Humjui nguli Mbowe wewe.
Hivi unafikiri bila mbowe hawa manyumbu wa cdm kuna kitu?na naamini kinachaiweka cdm hadi leo ni Mbowe na ametumia kabila lake kufanikisha ndio maana yule mpuuzi Lema kila wakati huwa anasema yeye ni MchggaUpinzania kumbe ni Mbowe?
Naweza nisiwe nazo ila si kwa kiwango cha LemaWewe una akili?
Kwa nini niwe mpinzani?nadhani hakuna binadamu asietaka mabadiliko ila kwa kuwa upinzani wa Tanzania umetawaliwa na manyumbu(isipokuwa ,Lissu,Zitto na kwa mbali Mbowe) haiwezekana wakapata sapoti toka kwa Watanzania Makini.Kwa nini sasa wewe usiwe mpinzania wa dhamila? toka nje anza kazi, wacha ujinga
JKN alishasema... Upinzani wa kweli na halisi umo ndani ya CCM ila muda ukifika utatoka ndan ya CCM!!Kwani lini kulikuwa na upinzani?
Mwaka 1999Kwani lini kulikuwa na upinzani?
Shujaa wenu, au siyoMia mia. Hatari sana. Upinzani umezikwa nchi hii. JPM ametusaidia kujua unafiki wa daraja la juu sana wa wanasiasa wa upinzani Tanzania.
Wamebadilisha aina ya upinzani mnaanza kulialia na kudai wamewasaliti sijui wamelambishwa asali. Watu wa ajabu kabisa nyie