Technical errors za tukio la clouds

Msitake kutengeneza movie kwenye masuala ya kijinga. Hakuna cha Kujua anachokifanya wala nn. Huyu Bashite a.k.a na Baba yake wote wamelewa madaraka, na wanafanya makosa ya kiusalama kwa Mgongo wa Vyeo.
 
Makonda mwenyewe kazungusha masomo yote ndo maana akalikataa hata jina lake la bashite,ss unategemea huo ufahamu wote wa mitambo nakuweka mambo sawa anao ?inawezekana kbs,kati ya askari waliomcndikiza,kuna wenyewe huo uelewa,ila watu wamechoshwa na hii serikali,wakaona ngoja limwagike,wao c wana kibali cha mwenye nchi? Shida ikowapi?hivyo hawakujihucsha na kumkinga ziro wa kitaifa.ila kubwa zaidi Mungu yupo kzn ! magu anakufuruje ? Kebehi kwa umma,matuc,vitisho,ukandamizaji kwa kilakitu na kila mtu.alafu anasema niombeeni.Mungu yupi huyo anayemkebehi kwa mabaya yote Haya ? Roho za wapinzani,lazima maombi aliyoombewa yawe laana juu yake,na ndo maana bashite anazidi kumueleleza.bashite bila nguvu ya magufuli acngeweza kuvamia Clauds ni uongo yy kaagizwa tu.ili wammalize Gwajima kwakua ni mshirika wa Lowasa.
 

Ngoja nikusahihishe kidogo jammer haizimi sensor za camera ila inaleta interference kwenye frequency hivyo picha inakua distorted .pale ulipoandika PVR embu rekebisha iwe dvr

uko sawa jammer inaharibu mawasiliano ya IR sonsor hivyo kushindwa ku detect motion, ila dvr ni technologia ya zamani labda kama ndiyo inayotumika hapo clouds, ila PVR ndio more advanced. hata hivyo hizo camera za clouds ni za zimani sana.
Zero on demand zero all the way
 
Dah hapoo ndo utamini siku ya kufa nyani miti yotee hutelezaaaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…