Ngoja nikusahihishe kidogo jammer haizimi sensor za camera ila inaleta interference kwenye frequency hivyo picha inakua distorted .pale ulipoandika PVR embu rekebisha iwe dvrnaimani kitendo kilichofanyika clouds hakikufanywa kwa ustadi na kimsingi kilipaswa kufanywa na special forces au secret services. hivyo kusababisha kubaki kwa footage ya tukio zima.
kwanza, kabla ya kuingia walipaswa kuwa na kifaa kinachoitwa IR signal jammer, hiki kifaa kingezima sensor za cctv camera na kushindwa kurecord tukio zima hivyo kupoteza ushahidi.
Pili, walipaswa kuondoka na pvr ya cctv camera na kubadili HDD na kuhakikisha hakuna footage itakayobaki.
Tatu, baada tu ya tukio walipaswa kumwita mmiliki na kumpoza muda ule ule na kujifanya lilikuwa jambo la kawaida na kuwa labda alighafirika tu hivyo kumalizana kimya kimya na kama wangekataa basi ingeonekana kulikuwa na mabishano ya kawaida tu.
Kwani hata baada ya wamiliki kufika waliomba waombwe samahani jambo ambalo lingepaswa kufanyika kwa haraka na kupiga magoti kuhakikisha tukio zima halisambai na likisambaa basi liwe fununu tu.
uko sawa jammer inaharibu mawasiliano ya IR sonsor hivyo kushindwa ku detect motion, ila dvr ni technologia ya zamani labda kama ndiyo inayotumika hapo clouds, ila PVR ndio more advanced. hata hivyo hizo camera za clouds ni za zimani sana.Ngoja nikusahihishe kidogo jammer haizimi sensor za camera ila inaleta interference kwenye frequency hivyo picha inakua distorted .pale ulipoandika PVR embu rekebisha iwe dvr
Clauds ndiyo nini?
OvA
Sijui una ujuvi gani katika tasnia hii ila binafsi kwa utashi lile tukio limepangwa hivyo makusudi nchi nzima ione iache kujadili mambo mengine ijadili hayo tu......u cant out smart our security system......huyu kijana ni stadi hatujui alijifunzia wapi kumbuka kilichotokea kwa mzee Warioba mpaka leo hatujui kama alimpiga au alikuwa anamuokoa...kama kweli wangekuwa wanataka chochote wangepiga tu simu wangeletewa hakukuwa na haja ya wao kwenda physically... jiongezenaimani kitendo kilichofanyika clouds hakikufanywa kwa ustadi na kimsingi kilipaswa kufanywa na special forces au secret services. hivyo kusababisha kubaki kwa footage ya tukio zima.
kwanza, kabla ya kuingia walipaswa kuwa na kifaa kinachoitwa IR signal jammer, hiki kifaa kingezima sensor za cctv camera na kushindwa kurecord tukio zima hivyo kupoteza ushahidi.
Pili, walipaswa kuondoka na pvr ya cctv camera na kubadili HDD na kuhakikisha hakuna footage itakayobaki.
Tatu, baada tu ya tukio walipaswa kumwita mmiliki na kumpoza muda ule ule na kujifanya lilikuwa jambo la kawaida na kuwa labda alighafirika tu hivyo kumalizana kimya kimya na kama wangekataa basi ingeonekana kulikuwa na mabishano ya kawaida tu.
Kwani hata baada ya wamiliki kufika waliomba waombwe samahani jambo ambalo lingepaswa kufanyika kwa haraka na kupiga magoti kuhakikisha tukio zima halisambai na likisambaa basi liwe fununu tu.
Kwikwikwi....eddy naye ndy wale wenye zeroKichwa chake footage ovyo
Kwikwikwi....eddy naye ndy wale wenye zero
Ova
tukio halikuwa calculated kwani baada ya kijana kukataliwa alichokuwa anaomba ndio kapeleka mrejesho hapo action ilifuata, kwa kuwa jamaa alikuwa mwenyeji pale alipaswa kustudy mazingira mapema, na kujua security system ikoje. katika masuala ya usalama huwa hakuna kuaminiana. ndio maana yule jamaa pale reception alimkatalia dogo kuingia studio.Sijui una ujuvi gani katika tasnia hii ila binafsi kwa utashi lile tukio limepangwa hivyo makusudi nchi nzima ione iache kujadili mambo mengine ijadili hayo tu......u cant out smart our security system......huyu kijana ni stadi hatujui alijifunzia wapi kumbuka kilichotokea kwa mzee Warioba mpaka leo hatujui kama alimpiga au alikuwa anamuokoa...kama kweli wangekuwa wanataka chochote wangepiga tu simu wangeletewa hakukuwa na haja ya wao kwenda physically... jiongeze
Wafanye yote hayo, kwani wanamuogopa nani? Wanajiamini, na mpaka sasa ndio tunaloshuhudia.naimani kitendo kilichofanyika clouds hakikufanywa kwa ustadi na kimsingi kilipaswa kufanywa na special forces au secret services. hivyo kusababisha kubaki kwa footage ya tukio zima.
kwanza, kabla ya kuingia walipaswa kuwa na kifaa kinachoitwa IR signal jammer, hiki kifaa kingezima sensor za cctv camera na kushindwa kurecord tukio zima hivyo kupoteza ushahidi.
Pili, walipaswa kuondoka na pvr ya cctv camera na kubadili HDD na kuhakikisha hakuna footage itakayobaki.
Tatu, baada tu ya tukio walipaswa kumwita mmiliki na kumpoza muda ule ule na kujifanya lilikuwa jambo la kawaida na kuwa labda alighafirika tu hivyo kumalizana kimya kimya na kama wangekataa basi ingeonekana kulikuwa na mabishano ya kawaida tu.
Kwani hata baada ya wamiliki kufika waliomba waombwe samahani jambo ambalo lingepaswa kufanyika kwa haraka na kupiga magoti kuhakikisha tukio zima halisambai na likisambaa basi liwe fununu tu.
Afu kwa nn tukio litokee kabla ya siku ya kuzindua ujenzi wa flyover pale ubungo na mkulu kuja kulitolea ufafanuzi am doupt labda inaweza kuwa kweli..!!!Sijui una ujuvi gani katika tasnia hii ila binafsi kwa utashi lile tukio limepangwa hivyo makusudi nchi nzima ione iache kujadili mambo mengine ijadili hayo tu......u cant out smart our security system......huyu kijana ni stadi hatujui alijifunzia wapi kumbuka kilichotokea kwa mzee Warioba mpaka leo hatujui kama alimpiga au alikuwa anamuokoa...kama kweli wangekuwa wanataka chochote wangepiga tu simu wangeletewa hakukuwa na haja ya wao kwenda physically... jiongeze
Mkuu huyu dogo anajua anachokifanya....kwenye security hakuna kitu kinaitwa bahati mbaya in a mission every single move counts. Footage haija leak bali ime sambazwa sasa hivi hatuongei vyeti tunaongelea footage na kesho kutwa tutaongea kitu tofauti kabisa dogo yuko vizuri katika tasnia....kumbuka yeye ni mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama mkoa wa Dar hakuchaguliwa kwa bahati mbaya. Huyu jamaa anazunguka Dar usiku kucha akiwa na mavazi tofauti tofauti nimeshamshuhudia kinondoni manyanya usiku saa tatu amezungukwa na mateja ameshuka kwenye gari na amemuweka mwendesha pikipiki chini ya ulinzi (sikujua kosa lake), huyu siyo mtu wa kumchezeatukio halikuwa calculated kwani baada ya kijana kukataliwa alichokuwa anaomba ndio kapeleka mrejesho hapo action ilifuata, kwa kuwa jamaa alikuwa mwenyeji pale alipaswa kustudy mazingira mapema, na kujua security system ikoje. katika masuala ya usalama huwa hakuna kuaminiana. ndio maana yule jamaa pale reception alimkatalia dogo kuingia studio.
tukio la warioba lilikuwa calculated kosa lililofanyika ni kwenda na mzee mpanju ambaye ni kipofu na asingeweza kumtelekeza hivyo ikabidi akomae hadi mwisho, ila wale secret services walitoweka na mpaka leo hawajulikani aliwatoa wapi
Muhusika ni Bashite ulitegemea nn?naimani kitendo kilichofanyika clouds hakikufanywa kwa ustadi na kimsingi kilipaswa kufanywa na special forces au secret services. hivyo kusababisha kubaki kwa footage ya tukio zima.
kwanza, kabla ya kuingia walipaswa kuwa na kifaa kinachoitwa IR signal jammer, hiki kifaa kingezima sensor za cctv camera na kushindwa kurecord tukio zima hivyo kupoteza ushahidi.
Pili, walipaswa kuondoka na pvr ya cctv camera na kubadili HDD na kuhakikisha hakuna footage itakayobaki.
Tatu, baada tu ya tukio walipaswa kumwita mmiliki na kumpoza muda ule ule na kujifanya lilikuwa jambo la kawaida na kuwa labda alighafirika tu hivyo kumalizana kimya kimya na kama wangekataa basi ingeonekana kulikuwa na mabishano ya kawaida tu.
Kwani hata baada ya wamiliki kufika waliomba waombwe samahani jambo ambalo lingepaswa kufanyika kwa haraka na kupiga magoti kuhakikisha tukio zima halisambai na likisambaa basi liwe fununu tu.
huyu ni jambazi tu muuza unga kilaza hana lolote zaidi ya kubebwa,Mkuu huyu dogo anajua anachokifanya....kwenye security hakuna kitu kinaitwa bahati mbaya in a mission every single move counts. Footage haija leak bali ime sambazwa sasa hivi hatuongei vyeti tunaongelea footage na kesho kutwa tutaongea kitu tofauti kabisa dogo yuko vizuri katika tasnia....kumbuka yeye ni mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama mkoa wa Dar hakuchaguliwa kwa bahati mbaya. Huyu jamaa anazunguka Dar usiku kucha akiwa na mavazi tofauti tofauti nimeshamshuhudia kinondoni manyanya usiku saa tatu amezungukwa na mateja ameshuka kwenye gari na amemuweka mwendesha pikipiki chini ya ulinzi (sikujua kosa lake), huyu siyo mtu wa kumchezea
How can a class seven failure know all those things?naimani kitendo kilichofanyika clouds hakikufanywa kwa ustadi na kimsingi kilipaswa kufanywa na special forces au secret services. hivyo kusababisha kubaki kwa footage ya tukio zima.
kwanza, kabla ya kuingia walipaswa kuwa na kifaa kinachoitwa IR signal jammer, hiki kifaa kingezima sensor za cctv camera na kushindwa kurecord tukio zima hivyo kupoteza ushahidi.
Pili, walipaswa kuondoka na pvr ya cctv camera na kubadili HDD na kuhakikisha hakuna footage itakayobaki.
Tatu, baada tu ya tukio walipaswa kumwita mmiliki na kumpoza muda ule ule na kujifanya lilikuwa jambo la kawaida na kuwa labda alighafirika tu hivyo kumalizana kimya kimya na kama wangekataa basi ingeonekana kulikuwa na mabishano ya kawaida tu.
Kwani hata baada ya wamiliki kufika waliomba waombwe samahani jambo ambalo lingepaswa kufanyika kwa haraka na kupiga magoti kuhakikisha tukio zima halisambai na likisambaa basi liwe fununu tu.
Mkuu huyu dogo anajua anachokifanya....kwenye security hakuna kitu kinaitwa bahati mbaya in a mission every single move counts. Footage haija leak bali ime sambazwa sasa hivi hatuongei vyeti tunaongelea footage na kesho kutwa tutaongea kitu tofauti kabisa dogo yuko vizuri katika tasnia....kumbuka yeye ni mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama mkoa wa Dar hakuchaguliwa kwa bahati mbaya. Huyu jamaa anazunguka Dar usiku kucha akiwa na mavazi tofauti tofauti nimeshamshuhudia kinondoni manyanya usiku saa tatu amezungukwa na mateja ameshuka kwenye gari na amemuweka mwendesha pikipiki chini ya ulinzi (sikujua kosa lake), huyu siyo mtu wa kumchezea