Techmate power bank

Techmate power bank

Nyaupindo

Member
Joined
Mar 24, 2014
Posts
43
Reaction score
30
Habari za jioni wanajamii? Naomba maoni yenu juu ya hizi power bank zinaitwa Techmate zenye mAh 10000.
Hapo napenda kujua ubora wake na vitu kama hivyo...
Nimejaribu kupitia kwenye mtandao wao nimeona kuwa base yao ipo middle east na vitu kama hivyo.
site yao ni http://www.dealtimedeals.com/mobile-accessories/61-techmate-10000-mah-powerbank.html
mnaweza enda hapo halafu mkanisaidia zidi kwa mawazo
 
huwez jua ubora wake hadi utumie mi siwez toa comment hapo sababu huwa hakuna specification halisi za ubora wa cell zilizotumika.
 
Kama hii 1399054382763.jpg
 
sio kama hiyo mkuu maana hiyo ni techmate kiongozi kama alivyoainisha mtoa mada na pia ni 10000mAh... jaribu na wewe kuigoogle maana mie nimeigoogle ila bado kufikia maamuzi ndio nangoja michango yenu sambamba na mtoa mada

Hutu tududu bhana tunafatana na matumizi yako ila kama hiyo ni 10000mAh kwa matumizi ya kawaida inafaaa huko Google wanaiuza bei gani?
 
powerbank ziko powa sana, mimi ninayo ndogo ya tecno 2200mAH inanisaidia sana, ingawa udogo wake huwa haijazi simu hadi 100% ina uwezo wa kuchaji kuanzia 27% hadi 90%
 
Mie yangu inajaza Huawei 525 tu,ila galaxy note haijazi

battery ya huawei yako ni 1700mah wakati note ni zaidi ya 3000mah.

hapo kuna mambo mawili either power bank yako ina mah chache (yani chini ya 3000mah za galaxy note) hapa utajua kama inachaji note nusu tu.

kama haichaji kabisa au inachaji kipole pole ujue ina ampere chache hivyo umeme hautoki kwa wingi
 
Inachaji polepole sana
Thankx
 
Sina technical detail lakini naskia matumizi ya mara kwa mara ya power bank yanaharibu afya ya betri. Madhara ya haraka kwa simu zenye betri zinazotoka kama samsung, LG, tecno etc ni kuvimba kwa betri na kuua IC ya simu. Pili, power bank zenye mAh kubwa e.g. 20,000 kwa bei ndogo unatakiwa uziogope sana. Mfano power bank ya brand ya kueleweka kama Pisen ya10,000mAh zinarange kati ya elfu 70 na 90, halafu ya 20,000 iwe cheap zaidi kuwa makini sana.
 
Ahsante sana mkuu kwa ushauri wako na angalizo. Je hizo Pisen power bank zinapatikana wapi?
 
Back
Top Bottom