Tech guyz, Msaada wa kutoka kwenye hii Error message: 0x80070057

Bigmaaan

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2023
Posts
537
Reaction score
1,200
Hii PC mwenyewe anasema ghafla tu ilizima.

Nikiwasha inalizimisha kufanya Auto repair. Inakaa hivyo kwa zaidi ya masaa 12.

Nimejaribu kureset, kufanya system restore, kufanya new installation of window. Inaleta Error message hii:
0x80070057
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…