Moja ya matatizo makubwa uliyo nayo wewe ni elimu duni na ujuha kama walivyo Watanzania wengi kugeuza mchakato muhimu kama huu ni ushabiki wa Simba na Yanga. Leo wanatawala watu ambao bila shaka unapata manufaa fulani, kesho wakishika madaraka mahasimu wako utalia kilio cha mbwa koko mwizi! Na utalalumu Katiba mbovu uliyo unga mkono wewe mwenyewe!Nadhani wewe ndio Kanjanja, unamkashifu Askofu kwa sababu ya uelewa wako mdogo au pia unatumia ushabiki na mapenzi yako kwa UKAWA bila kufikiri.
Kama UKAWA walimwambia Raisi kwenye kikao na akakataa, kwanza kwa nini waliafiki makubaliano wakati madai yao hayajakubaliwa? Na pili kwa nini waiofanya press conference na waaandishi wa habari baada ya hayo makubliano yao hawakusema kuwa dai lao la kusitisha katiba mara moja wamemwambia Raisi na limekataliwa?
Jaribu kuwa critical thinker na siyo unakurupuka tu na kumkashifu mtumishi wa mungu kutokana na uwezo wako mdogo wa ku analyze mambo!
Watu walizungaka, mapesa yakatumika ila mwisho wa yote ni,Au umesahau pale ambapo Pengo alitaka serikali 2 ila TEC ikasema maoni ya wananchi (serikali 3) yaheshimiwe?????
Use brain
Kuna watu hata wapewe nini hawaridhiki wameumbwa kupinga na kua kinyume mm sitaki kuamini kua Ukawa ndo wanaakili kuliko wajumbe waliobaki bungeni kwamba bila akili zao katiba haiwezi kupatikana pili naamino wasomi wataalam na wajumbe maakumu wa 201 wana akili timamu na uzuri kinachojadiliwa tunakiona na mwenye akili anakielewa vizuri naona kabsa wazi Ukawa wanagombea point moja tu ambayo inahusu maslahi ya kisiasa na uongozi bila kujali shida za msingibkama elimu, kilimo, afya, haki za msingi usawa wa raia nk. Wao wanashikilia serikali tatu tu.. pumbaaaavu sana. Wataptosha wananchi mazombie wenzao.
Moja ya matatizo makubwa uliyo nayo wewe ni elimu duni na ujuha kama walivyo Watanzania wengi kugeuza mchakato muhimu kama huu ni ushabiki wa Simba na Yanga. Leo wanatawala watu ambao bila shaka unapata manufaa fulani, kesho wakishika madaraka mahasimu wako utalia kilio cha mbwa koko mwizi! Na utalalumu Katiba mbovu uliyo unga mkono wewe mwenyewe!
Popote ktk nchi zilizopata Katiba nzuri kila kundi moja lilipo jiondoa ktk mchakato walitafuta maridhiano siyo kuupuza na kuendelea na mchakato wa upande mmoja. Kenya ni mfano wa karibu,mwanzo watawala walijidai wababe katiba yao ikakataliwa na wananchi. Tusome sana na kutafuta maarifa badala ya kuja hapa kucomment ujinga mtupu kama hukufuta hata ujinga wa kusoma na kuandika!