Otorong'ong'o
JF-Expert Member
- Aug 17, 2011
- 38,903
- 28,042
Loading . . . . . . . . . . . !
Network error..
Loading . . . . . . . . . . . !
Hapo kwenye red...Huyo ni aina gani ya jini...?
Huyo ni yule Jinn anaetumiwa na yule Mama yenu wa Kihaya aka Hawara Josephine Mushumbusi,kumtia kiwewe yule Babu yenu Padri alofukuzwa kazi... Mzee kijana, "Dr." Slaa aka Baba Junior!
Basi lawama tunazielekeza Kwako Mkuu.Kuna ndogo ndogo (tetesi) zisizo rasmi (nasisitiza tena... zisizo rasmi) kuwa Ikulu inahaha na uongozi wa juu wa TEC na wale wengine ili utoe tamko kuwa jina aliloteua rais Kikwete la mjumbe TEC kwenye tume ya katiba lilipitishwa na uongozi wa juu wa TEC!
Tamko linatakiwa liseme kuwa uongozi wa juu wa TEC ulifanya ''marekebisho'' kwenye listi iliyokuwepo mwanzoni kabla ya kupeleka majina kwa rais.....
Lengo ni kuwa ionekane Lissu ni mwongo, mzushi na mzandiki kama ilivyosemwa.....
Let us stay tuned....
PS: Kwasababu ni tetesi means unaweza kuwa uongo wa mchana kweupe, hivyo tusitoe lawama kwa TEC wala Ikulu!