Tears on our flags by Mwanahamisi Singano

Tears on our flags by Mwanahamisi Singano

Thank you very much, as a nation we are passing through worst moment in our historical time , framed charges before the court is something normal.

Violation of constitution and other laws is something acceptable now days. We are living under burning roof , people are mourning and groaning but no one to wipe their tears ,ooh GOD have mess on us .
 
Mnajivika unyonge pasipo sababu za maana. Badala ya kujiuliza namna ambavyo fursa za kimaisha zinaweza kupatikana wakati huu nchi nzima pakiwa na ujenzi wa barabara na viwanja vya ndege, watu wanajipa unyonge wa mitandaoni.
Ww bwana unaona kila ujenzi ni fursa, miradi mingi wakandarasi wenyewe ni wa China ambao ni wanyonyaji wa kiwango cha SGR, ukiwa supplier unakopwa hadi u afilisika na hujui utalipwa lini, labda kwa vibarua wanaolipwa Tsh 6000 kutwa kwa kazi ngumu kweli kweli, tena juani, kwa ujumla miradi mingi ya kimkakati haina impact ya moja kwa moja kiuchumi kwa wa tz ni % ndogo sana tena sana kwa hawa cheap labour's. Watu walio kwenye hii industry ya miundombinu watanisaidia kukuelewesha, serikali lazima irudishe pesa kwenye mzunguko ili wananchi wapate ahueni, sio hizi porojo za ghost projects mnazoimbia ngonjera kila siku
 
Maneno mazito Toka kwa mwanaharakati Dada Mwanahamisi singano.
Halahala msije mkamuambia sio raia dada yetu Mish bonge
 
Mkuu Murisi, we are following the law of the jungle, its constant struggle for existence, survival is for the fittest, ili kuweza ku fit, inakubidi kwenda na wakati na kubadilika na mabadiliko, yaani you change with time, ukishindwa kwenda na kasi ya mabadiliko, it's either mabadiliko yatakubadilisha, ili uendane nayo, au yatakusomba na uta perish and be no more, mimi I'm a survivor ndio maana bado nipo still kicking.
P
Ngoja nijaribu na mimi!
 
Ww bwana unaona kila ujenzi ni fursa, miradi mingi wakandarasi wenyewe ni wa China ambao ni wanyonyaji wa kiwango cha SGR, ukiwa supplier unakopwa hadi u afilisika na hujui utalipwa lini, labda kwa vibarua wanaolipwa Tsh 6000 kutwa kwa kazi ngumu kweli kweli, tena juani, kwa ujumla miradi mingi ya kimkakati haina impact ya moja kwa moja kiuchumi kwa wa tz ni % ndogo sana tena sana kwa hawa cheap labour's. Watu walio kwenye hii industry ya miundombinu watanisaidia kukuelewesha, serikali lazima irudishe pesa kwenye mzunguko ili wananchi wapate ahueni, sio hizi porojo za ghost projects mnazoimbia ngonjera kila siku
Zitakapoanza kuonyesha faida hutakuja tena kuziita ghost projects.

Uvumilivu ni dawa ya matatizo mengi, hayo malipa ya makandarasi ni changamoto za muda tu.
 
Back
Top Bottom