Tanzania kama Tanzania, hakuna upinzani wa ukweli, hakuna cha hao UKAWA au nani sijui, maana ukiviangalia vizuri hivyo vyama vya upinzani vinaendeshwa kwa matukio, hawana sera za kueleweka utakuta tukio fulani likitokea, basi wamelishikilia, likiisha wanakaa kimya likitokea tukio lingine basi wanalishupalia hivyo hivyo reference mgomo wa madereva wa mabasi, katiba mpya, etc etc yani Tanzania hakuna upinzani bado, ni unafiki kwenda mbele na uchu wa madaraka
When i see makongoro, i see the late mwalimu nyerere, siku zote mtoto wa nyoka ni nyoka tu, nadhani anastahili, kuliko huyo anayeshinda kutwa kugawa rushwa ili achaguliwe, sasa kama mtu ata ikulu hujaingia unaanza ku promote rushwa, akiingia ikulu si ndio itakuwa balaa?
Tayari wazee wa chama ikiwemo Mangula na wengineo wamepanga tayari mgombea wao.
Mzee Mkapa, Mzee Mwinyi na Karume wamepanga huyo ndiye awe.
Tayari wafadhili wanao aminika na chama wameamua huyo ndiye awe.
Tayari kinachoitwa 'system' wameamua huyo ndiye awe.
Tayari jamii za kimataifa zimeamua huyo ndiye awe.
Ila bado tu Watanzania walio wengi kuamua. Ila ieleweke, pamoja na mapenzi makubwa Watanzania waliyonayo kwa Lowassa, CCM imeamua vinginevyo.
Mgombea Urais Kupitia CCM 2015 ni Makongoro Nyerere. Confirmed.
UKAWA Jipangeni kivingine. Ile furaha yenu ya muda mfupi imekwisha ghafla.
Kabisa! Mimi na mafisadi ni kama ardhi na mawingu

unauxhahidi wowot wa rushwa iliyo tolewa na mh.?
Umerogwa??? watu gani wana mapenzi na Lowasa???
At least makongoro kuliko huyo lowasa, mi kiongozi akishakuwa na kashfa tu either ya kusingiziwa au lah uwa sina hamu nae kabisa
Tayari wazee wa chama ikiwemo Mangula na wengineo wamepanga tayari mgombea wao.
Mzee Mkapa, Mzee Mwinyi na Karume wamepanga huyo ndiye awe.
Tayari wafadhili wanao aminika na chama wameamua huyo ndiye awe.
Tayari kinachoitwa 'system' wameamua huyo ndiye awe.
Tayari jamii za kimataifa zimeamua huyo ndiye awe.
Ila bado tu Watanzania walio wengi kuamua. Ila ieleweke, pamoja na mapenzi makubwa Watanzania waliyonayo kwa Lowassa, CCM imeamua vinginevyo.
Mgombea Urais Kupitia CCM 2015 ni Makongoro Nyerere. Confirmed.
UKAWA Jipangeni kivingine. Ile furaha yenu ya muda mfupi imekwisha ghafla.
When i see makongoro, i see the late mwalimu nyerere, siku zote mtoto wa nyoka ni nyoka tu, nadhani anastahili, kuliko huyo anayeshinda kutwa kugawa rushwa ili achaguliwe, sasa kama mtu ata ikulu hujaingia unaanza ku promote rushwa, akiingia ikulu si ndio itakuwa balaa?
Mimi sipendi fisadi lakini nitamchagua EL ili akiingia magogoni amweke lupango mkulu! Nauhakika EL atafanya kama Mwanawasa alivyomfundisha adabu mtangulizi wake kule Zambia. Watz tukunje ngudo na kumchagua EL ili haki ifanyike kwa yote mkulu aliyotutendea.
ha ha ha skendo za lowassa ni nyingi mno halafu mwenyewe wala hakanushi anachukulia simple tu.