atiii?kuna yule mdada wa kinondoni..jina kapuni a.k.a mama manywele tooooba sura imelendemka utafikiri mlenda na zile kope za bandia kama jini vile.....akilowa na mvua na zile makeup sijui itakuweje
mwanamke resepsheni t.ako analiona nani?
hureeeeee
leo tutasuuuuuutwa haaaapa!
ila uzur suto la leo ngumu kudiklea interest!
Hehehee, eti kujivua gamba..ila bahati mbaya magamba ya miguuni yanagomaga kuvuka...
ndo inakuwa sura mpya miguu ya zamani.
wapumb.a.v.u nyie
Fanta cocacola....sasa usiombe ukaona paja la mtu aliyejichubua utadhani nyama imetundikwa buchani.
ha ha ha ha !!!! Raha ya msuto shurti mtu kati!! Ngoja aje mwenyewe hapa mi wallah ntatokea mlango wa nyuma!!!
wamejichubua sura zimenyonyoka kama paka mweusi aliyemwagiwa maziwa.....
hahahahaha eti miguu ya zamani!!!! Afu unakuwa wa chuichui!
Wakijiziba mdomo kwa mkono unawezahisi amepigwa kabali, mkono mweusii..
hahaha unaeksipiriensi!!?
hahahahahahahahaha
yan unamaanisha unaweza ita 911 kwamba kuna mtu ananyimwa pumzi huku unashuhudia
chui chui kama kibandiko cha serengeti beer?
hahahahahaha!!