Team ya wapiga deki mpooo!

Wooooooi!
Shemeji,hiv kweli mahabat yote niliyonayo kwenu naanzaje kukutenga!?
Sema tu nini Kaizer aliniletea zawadi ya obagi sasa bora unekuja unisaidie kufanya maamuz magumu

🙁🙁🙁🙁😎
 
Last edited by a moderator:
Juzi nilikuwa sehemu wakaka wakawa wanamsifia dada mmoja eti ni mzuri mweupe anavutia

Ila yule dada ukimsogelea karibu kapiga deki la haja vidole vya mikono vyeusi tiiii..mbaya sasa umkute hajavaa make up zake utachoka

Sijui watu wanapenda nini lakini?finally uzee pale ngozi inapogoma kurudia hali yake

Pia hii meseji kwa mwimbaji nimpendae sana Bahati Bukuku..kanikwaza sana jinsi alivyojikoboa
 
Ahahahahahahahahahahahahahahaha haha shemejiiiiiiii unandai!
Wallahi chagua mahali nkakuhonge mguu wa mbuzi choma!

Mwalimu tuseme ni nini hii? Ngoja jua liwake...sikuletei ile makitu
 
We naona hukwaziki!
Vidole vya upendo nkone je?
Bi chau umemuona juzi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…