Team ya wapiga deki mpooo!

Wooooooi!
Shemeji,hiv kweli mahabat yote niliyonayo kwenu naanzaje kukutenga!?
Sema tu nini Kaizer aliniletea zawadi ya obagi sasa bora unekuja unisaidie kufanya maamuz magumu

Huyu Kaizer huwa halali?
 
Last edited by a moderator:
Ahahahahahahahahahahahahahahaha haha shemejiiiiiiii unandai!
Wallahi chagua mahali nkakuhonge mguu wa mbuzi choma!

shemeji gauti haina uhusiano wowote na pafomensi kwenye via vya uzazi?
 
Khaaa humu ndani watu sijui wana dictionary za wapi, maake hiyo michambo mtu akiwekwa kati anaweza akazimia.

All in all kina cheusi mangara wenzangu tujikubali tu jamani, me naipenda sana ngozi yangu nyeusi na nipo comfortable na confident nayo. Black is expensive

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…