Pdidy JF-Expert Member Nov 22, 2007 51,289 22,594 Dec 18, 2023 #1 Tukielekea uwanjan kesho naomba tm wydad tujuane. Mapema jamani Ntakuwa.kwenye kontena letuu pendwaa nyumaa ya.jezi ya wydad nimeandika pdidy Cya on time saa saba ntakuwa taifa napasha safari zetu nje kontena Adbest wydady Rgds. Pdidy
Tukielekea uwanjan kesho naomba tm wydad tujuane. Mapema jamani Ntakuwa.kwenye kontena letuu pendwaa nyumaa ya.jezi ya wydad nimeandika pdidy Cya on time saa saba ntakuwa taifa napasha safari zetu nje kontena Adbest wydady Rgds. Pdidy
Malaika wa Misukosuko JF-Expert Member Jul 16, 2021 1,625 4,821 Dec 18, 2023 #2 Mtaaibishwa Simba sio Chura
Allen Kilewella JF-Expert Member Sep 30, 2011 18,516 34,313 Dec 18, 2023 #3 Ushanunua Jezi? Yanga Wana hasira baada ya kugundua kuwa waliokunywa ile supu hawana msaada wowote ule kwa timu.
Ushanunua Jezi? Yanga Wana hasira baada ya kugundua kuwa waliokunywa ile supu hawana msaada wowote ule kwa timu.
koboG JF-Expert Member Apr 3, 2016 2,488 4,415 Dec 18, 2023 #4 Hatutaki kusikia kauli za ooh hawa warabu ni wabovu
Pdidy JF-Expert Member Nov 22, 2007 51,289 22,594 Dec 18, 2023 Thread starter #5 Allen Kilewella said: Ushanunua Jezi? Yanga Wana hasira baada ya kugundua kuwa waliokunywa ile supu hawana msaada wowote ule kwa timu. Click to expand... Najezi og mkuu za yanga na wydad
Allen Kilewella said: Ushanunua Jezi? Yanga Wana hasira baada ya kugundua kuwa waliokunywa ile supu hawana msaada wowote ule kwa timu. Click to expand... Najezi og mkuu za yanga na wydad
Allen Kilewella JF-Expert Member Sep 30, 2011 18,516 34,313 Dec 18, 2023 #6 Pdidy said: Najezi og mkuu za yanga na wydad Click to expand... ๐๐๐๐ Wydad: Mmerudia Ile tabia yenu...
Pdidy said: Najezi og mkuu za yanga na wydad Click to expand... ๐๐๐๐ Wydad: Mmerudia Ile tabia yenu...
Pdidy JF-Expert Member Nov 22, 2007 51,289 22,594 Dec 18, 2023 Thread starter #7 Allen Kilewella said: ๐๐๐๐ Wydad: Mmerudia Ile tabia yenu... Click to expand... ๐ ๐ ๐ ๐ ๐ ๐ tupokazini mjipange
Allen Kilewella said: ๐๐๐๐ Wydad: Mmerudia Ile tabia yenu... Click to expand... ๐ ๐ ๐ ๐ ๐ ๐ tupokazini mjipange
chuma cha mjerumani JF-Expert Member Dec 4, 2013 11,118 22,511 Dec 18, 2023 #9 team wydad tupooo wakutosha hapa.
Allen Kilewella JF-Expert Member Sep 30, 2011 18,516 34,313 Dec 18, 2023 #10 Pdidy said: ๐ ๐ ๐ ๐ ๐ ๐ tupokazini mjipange Click to expand... Mlipokunywa supu mlidhani wale ng'ombe hawakununuliwa?? Mlipokuwa mnakunywa supu pale pembeni hamkuona kama Kuna Jezi mnatakiwa kununua?? Yaani mtu anakunywa bakuli mbili za supu halafu anasepa kama vile Ile nyama iliokotwa vingunguti!!!
Pdidy said: ๐ ๐ ๐ ๐ ๐ ๐ tupokazini mjipange Click to expand... Mlipokunywa supu mlidhani wale ng'ombe hawakununuliwa?? Mlipokuwa mnakunywa supu pale pembeni hamkuona kama Kuna Jezi mnatakiwa kununua?? Yaani mtu anakunywa bakuli mbili za supu halafu anasepa kama vile Ile nyama iliokotwa vingunguti!!!