Ilisolokobwe
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 1,865
- 833
Uncertified [emoji23][emoji23][emoji23]Tecno tutakoma
Sasa inafungiwa ikiwa certified au uncertified??
Kwisha Habari yake tecnoTecno tutakoma
Sasa inafungiwa ikiwa certified au uncertified??
Android – Certified - Partnerskama chanzo cha habari hii umeipata google play store hakuna sehemu waliyosema uko hatarini kufungiwa google service. porojo tu
Utaniambia nini kaka?
ni tatizo hilo.Utaniambia nini kaka?
Hapa natumia Oneplus-Two ipo uncertified kama inavyoonekana kwenye screen shot hapo chini wakati Oneplus ipo Katika hiyo list ya certified partner.
View attachment 725384
Tatizo mnapenda TECNO za gharama kubwa mno, Mimi yangu ni y3 ipo certifiedUtaniambia nini kaka?
Hapa natumia Oneplus-Two ipo uncertified kama inavyoonekana kwenye screen shot hapo chini wakati Oneplus ipo Katika hiyo list ya certified partner.
View attachment 725384
Nimecheck hadi xiaomi redmi 4A nayo hivyo hivyo Uncertifiedni tatizo hilo.
Play store status Uncertified, Why???
Ili iweje mkuu. Sisi wenye uwezo mdogo tukafie wapi?Google, fungeni kabisa simu za tecno na itel, yaani Android isifanye kazi kabisa ktk simu za tecno.