Fue Fue
Senior Member
- Jan 6, 2013
- 107
- 128
Tunawashukuru wote walioshiriki kwenye chaguzi za serikali za mitaa, kura zenu ni heshima kubwa sana. Tunashukuru wapiga kura wote walioshiriki bila kujali vyama vyao.
#TEAM SAME MASHARIKI 2015 CDM; Ushindi ni lazima, nawakaribisha wote kuungana nami kuleta ushindi wa heshima same kumwondoa mkoloni CCM.
Bendera, Bombo, Bwambo, Kihurio, Kirangare. maore, Mpinji, Mtii, Myamba, ndungu, Vuje na Vunta tuungane wote kushinda.
Kama una masilahi ya kiuchumi, afya, barabara, elimu, jamii, makazi, tufanye madiliko.
Send message to me.