pingli-nywee
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 11,923
- 13,355
Big up kwa kina mama wote wa kiafrika. Tabia kama hizi ni za wale ambao hawakuchapwa viboko na mama zao. Dawa ya roho mbaya kama hizi ni mwiko, malapa, ufagio na chochote kilicho karibu, kwenye mikono ya mama wakati mtoto angali mchanga.