hugochavez
JF-Expert Member
- Mar 1, 2013
- 1,907
- 1,009
Hoja hupingwa kwa hoja sio kwa vioja. Kamalizie kupika baba anataka kula ana njaaHuu kama kweli ndo utafiti, basi vyuoni wanatufundisha ujinga sana..... Na mm nadhan ipo haja sasa ya kufanya marekebisho ya mtaala wa elimu. Maana kwa namna hii sidhani kama Taifa tunaelekea wapi!!!!!
Hivi ilikuwaje mtaa unakopikwa upuuzi kama huu ulipewa jina la la mwanamapinduzi mashuhuri kabisa Afrika!!??Huu kama kweli ndo utafiti, basi vyuoni wanatufundisha ujinga sana..... Na mm nadhan ipo haja sasa ya kufanya marekebisho ya mtaala wa elimu. Maana kwa namna hii sidhani kama Taifa tunaelekea wapi!!!!!
Unaweza kututajia mafisadi japo kumi tu walioitafuna nchi hii?Mafisadi wanapitia kipindi kigumu Sana katika Historia ya Nchi yetu
Hivi hao mafisadi ni akina nani haswa?Maana kwa mujibu wa jiwe anahoji,"kwani huko nyuma mlikuwa hamlipi kodi?msiniulize zilikwenda wapi maana siyo kazi yangu kujibu"Wanapinga huku wakipita kwenye hayo mabarabara na madaraja? Pia na ndege wanapanda? Mashenzi hayo. Yapotezee!!!!!1
Anamzungumzia yule aliyempa kimada nyumba ya serikali!Anamzungumzia yule aliyegawa kivuko kibovu kwa jeshi ili watu waache kuhoji ununuzi wake!Anamzungumzia yule aliyejipa tenda ya kutengeneza vitambulisho vya wajasiliamali na kuchukua 20,000 kwa kila mjasiliamali!Unamzungumzia Magufuli yule ambae majuzi alikuwa na Fisadi Nyangumi pale Ikulu au Magufuli yupi hasa?
Unamzungumzia Magufuli ambae kaenda kujenga international airport kijijini kwao huku tenda ya ujenzi akimpa mshikaji wake Matiko; au Magufuli gani hasa?
Unaweza kututajia mafisadi japo kumi tu walioitafuna nchi hii?
Ndio hapo mimi nashindwa kuwaelewa hawa watu!Hao mafisadi anaowaongea ni mawaziri wote na jiwe akiwemo.
WHAAAAAAAAT😈😈😈!!!Anamzungumzia yule aliyempa kimada nyumba ya serikali!Anamzungumzia yule aliyegawa kivuko kibovu kwa jeshi ili watu waache kuhoji ununuzi wake!Anamzungumzia yule aliyejipa tenda ya kutengeneza vitambulisho vya wajasiliamali na kuchukua 20,000 kwa kila mjasiliamali!