Umenikumbusha kuhusu jamaa flani hivi ambaye aliacha kununua nguo mpya kwasababu aliambiwa na daktari kwamba ana High Blood Pressure. [emoji1]Its not even guaranteed there will be Olympic....
Boxing ni kazi yao, they will do it no matter the case hata kama Olympic itakuwapo au kutokuwepo..., ila hii haibadilishi the fact kwamba huenda haitakuwepoUmenikumbusha kuhusu jamaa flani hivi ambaye aliacha kununua nguo mpya kwasababu aliambiwa na daktari kwamba ana High Blood Pressure. [emoji1]
Sasa kwanini Tz mmewatuma vijana wenu kule Dakar, Senegal wakachapwe Knock Out na kung'olewa meno? 😁
Shukran, hiyo ndio point yangu. Mkulima haachi kulima kwasababu dalili za mvua hazionekani. Inashangaza sana kwamba hata kwenye dondi pia ambayo ni individual sport mpo mpo tu mmelegea kama kawa. Hakuna hata mtz mmoja ambaye amefanikiwa kufuzu, mnahitaji maombi. Yaani kwenye fainali tunamenyana na wenzetu Uganda kutoka AM, ambao kwenye riadha pia wapo wanajitahidi. Ijumaa kuna dada kutoka Kenya ambaye ataingia kwenye ring kujitafutia tiketi ya kufika Tokyo. Waombeni waongeze michezo mingine ambayo mtafaulu, kwa mfano umbea. Natania tu lakini. 😀Boxing ni kazi yao, they will do it no matter the case hata kama Olympic itakuwapo au kutokuwepo..., ila hii haibadilishi the fact kwamba huenda haitakuwepo
We are all mediocre fighting against other mediocrity instead of the best..., if you want to be the best compare yourself with the best..., long distance running at least you try, other sports..., not so much....Shukran, hiyo ndio point yangu. Mkulima haachi kulima kwasababu dalili za mvua hazionekani. Inashangaza sana kwamba hata kwenye dondi pia ambayo ni individual sport mpo mpo tu mmelegea kama kawa. Hakuna hata mtz mmoja ambaye amefanikiwa kufuzu, mnahitaji maombi. Yaani kwenye fainali tunamenyana na wenzetu Uganda kutoka AM, ambao kwenye riadha pia wapo wanajitahidi. Ijumaa kuna dada kutoka Kenya ambaye ataingia kwenye ring kujitafutia tiketi ya kufika Tokyo. Waombeni waongeze michezo mingine ambayo mtafaulu, kwa mfano umbea. Natania tu lakini. 😀
Unataka tujilinganishe na Tz kwenye michezo? Nick Okoth ndio the best hapa Afrika kwa kitengo cha featherweight kwenye dondi, ndio maana amefuzu. Malkia Strikers ndio the best hapa Afrika(kwa miaka 11 sasa) na ndio maana walifuzu kuiwakilisha Afrika kwenye mpira wa wavu kwa kina dada. Hivyo hivyo kwa Kenya Lionesess na Shujaa kwenye raga7s kwa kina dada na wanaume mtawalia, la sivyo hawengekuwa wanaiwakisha Afrika kimataifa. Kwenye mpira wa magongo tupo, kriketi tupo pia. Kwenye Ice Hockey hakuna timu kutoka kwa nchi yeyote nyingine hapa Afrika. Alpine Skiing tunawakilishwa na Sabrina Wanjiku kila mwaka kwenye Winter Games. Riadha sasa ndio usiseme. Niendelee ama nisiendelee?We are all mediocre fighting against other mediocrity instead of the best..., if you want to be the best compare yourself with the best..., long distance running at least you try, other sports..., not so much....
No one remembers the second best....
mediocrity.... Mimi kama mtu ninaye-appreciate the best in people in their trade siwezi kuanza kusifia the best in East or Africa kwa ujumla bali the best in the world..., that's why nikasema ningekuelewa kwenye marathon hayo mengine its just being mediocre as a continent although hao watu as individuals fair to themUnataka tujilinganishe na Tz kwenye michezo? Nick Okoth ndio the best hapa Afrika kwa kitengo cha featherweight kwenye dondi, ndio maana amefuzu. Malkia Strikers ndio the best hapa Afrika(kwa miaka 11 sasa) na ndio maana walifuzu kuiwakilisha Afrika kwenye mpira wa wavu kwa kina dada. Hivyo hivyo kwa Kenya Lionesess na Shujaa kwenye raga7s kwa kina dada na wanaume mtawalia, la sivyo hawengekuwa wanaiwakisha Afrika kimataifa. Kwenye mpira wa magongo tupo, kriketi tupo pia. Kwenye Ice Hockey hakuna timu kutoka kwa nchi yeyote nyingine hapa Afrika. Alpine Skiing tunawakilishwa na Sabrina Wanjiku kila mwaka kwenye Winter Games. Riadha sasa ndio usiseme. Niendelee ama nisiendelee?
Dah, boss kwani the best duniani huwa wanaanzia wapi kama sio chini kule mashinani? Au unadhani huwa ni birthright yao na wanazaliwa wakiwa wameiva? You have to work up day after day. Sasa unataka kumaanisha kwamba nyinyi hapo mmekubali kuwa the worst? Acha kucatch mafeelings kwenye vitu kama michezo. Ndio maana kuna mashindano ya mara kwa mara na hata hao wanariadha huwa wanapiga mazoezi bila kuchoka. Maanake wakilegea watapitwa na wengine. Ndio maana tutaendelea kuwagonga tu. Proudly Kenyan, with no apologies! [emoji1139][emoji1139][emoji1139]mediocrity.... Mimi kama mtu ninaye-appreciate the best in people in their trade siwezi kuanza kusifia the best in East or Africa kwa ujumla bali the best in the world..., that's why nikasema ningekuelewa kwenye marathon hayo mengine its just being mediocre as a continent although hao watu as individuals fair to them
Unataka tujilinganishe na Tz kwenye michezo? Nick Okoth ndio the best hapa Afrika kwa kitengo cha featherweight kwenye dondi, ndio maana amefuzu. Malkia Strikers ndio the best hapa Afrika(kwa miaka 11 sasa) na ndio maana walifuzu kuiwakilisha Afrika kwenye mpira wa wavu kwa kina dada. Hivyo hivyo kwa Kenya Lionesess na Shujaa kwenye raga7s kwa kina dada na wanaume mtawalia, la sivyo hawengekuwa wanaiwakisha Afrika kimataifa. Kwenye mpira wa magongo tupo, kriketi tupo pia. Kwenye Ice Hockey hakuna timu kutoka kwa nchi yeyote nyingine hapa Afrika. Alpine Skiing tunawakilishwa na Sabrina Wanjiku kila mwaka kwenye Winter Games. Riadha sasa ndio usiseme. Niendelee ama nisiendelee?
[emoji1][emoji1][emoji1] Jombaa, kuna uongo wowote hapo? Najua kuna siku shoka litaniangukia, ila kwa sasa acha nijiachie tu kwa raha zangu. 😀 Nilikuwa na nidhamu sana kabla Nalendwa aniache humu na upweke, lakini hizo ni hadithi za siku nyingine.Duh! Jamaa wewe yaani huwa napenda kusoma bango zako sana, unakera watu sana ujue!!!
[emoji1][emoji1][emoji1] Jombaa, kuna uongo wowote hapo? Najua kuna siku shoka litaniangukia, ila kwa sasa acha nijiachie tu kwa raha zangu. 😀 Nilikuwa na nidhamu sana kabla Nalendwa aniache humu na upweke, lakini hizo ni hadithi za siku nyingine.
Hehe. 😀 Acha tu boss, hadi nimemkumbuka na sasa nimemuelewa sana yule jamaa wa kulialia enzi zile, Matonya. ...nasukuma sukuma ili siku ziendeeeee...[emoji38]Hivi nini kilimsibu Nalendwa halafu mapenzi yenu ya humu JF ilikua mpige hatua moja na tunakua na ushemeji Tanzania.
Hehe. 😀 Acha tu boss, hadi nimemkumbuka na sasa nimemuelewa sana yule jamaa wa kulialia enzi zile, Matonya. ...nasukuma sukuma ili siku ziendeeeee...[emoji38]
God forbid. Nipo kwenye pilka pilka za kumtrace, ila nachojua kwa uhakika ni kwamba humu Jf hatapatikana hivi karibuni.Utabaki kumkumbuka, sijui katowekea wapi maana hakuwa mwanasiasa ili tushuku labda wasiojulikana wa Bongo wamemuwahi.
Huwezi kusifia the best in East Africa simply because your people produce non Sasa kwa wivu inakubidi kuwatambua others in the world. Unajua it is only Kenya and South Africa ambao wameweza kuchukua nafasi ya Kwanza kwenye rugby sevens series? Wapi your beloved Sportsmen?mediocrity.... Mimi kama mtu ninaye-appreciate the best in people in their trade siwezi kuanza kusifia the best in East or Africa kwa ujumla bali the best in the world..., that's why nikasema ningekuelewa kwenye marathon hayo mengine its just being mediocre as a continent although hao watu as individuals fair to them
I am not myopic or blinded by nationalism like you guys.., that's why I feel sorry for you..., when it comes to sports and achievements I see no nationalities but talents.., that's why I have given you Kudos for long distance and when it comes to rugby in the world South Africa deserves a shout.., in Olympic football we can talk about West Africa.., though in football as a whole, as a continent we are still mediocre.., sadly that's a bitter truth...Huwezi kusifia the best in East Africa simply because your people produce non Sasa kwa wivu inakubidi kuwatambua others in the world. Unajua it is only Kenya and South Africa ambao wameweza kuchukua nafasi ya Kwanza kwenye rugby sevens series? Wapi your beloved Sportsmen?