Team kataa ndoa hawajui nini maana ya mapenzi

BWANA WANGU

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2018
Posts
365
Reaction score
851
Unajua mapenzi aliyaumba mungu kwa namna ya tofauti sana, kama ujawai kupendani na mtu uwezi kujua nini maana ya mapenzi.

Ukipendana na mtu mioyo yenu inakuwa kitu kimoja kihisia yani unazama , ulishawai kuzama wewe kama ni ndio hauwezi kusema Kataa ndoa.


Kwa nini hauwezi kukataa ndoa kwa sababu ukisha zama yani ukiwa kwenye penzi muda wote utatamani kuwa naye, kuongea naye n.k


Ebu niambie "umeshawai kupenda wewe " tuambie ni kitu gani ulikifanya ukajua kabisa umezama penzini.

KAMA MNA PENDANA MTA OANA,

KATAA NDOA NI KWA WATU WASIOJUA NINI MAANA YA MAPENZI.

Usiku mwema.

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
 
Cc dronedrake na members wake waione kwenye file.😅😅
 
Hao watoto bado tu hawajakua?
 
mtoa mada ni mapenzi gani unayoyazungumzia wewe, kuzama gani unakokusema wewe, yalimshinda shalou khan utayaweza weye? kiufupi timu kataa ndoa wote ni watu ambao wanatumia principle ya ''boom boom ciao''/to have sex and bye bye
 
Sawa hatujui mkuu Ila mbona hao mnao pendana nao wanashinda magetoni kwetu

In fact
. Mimi sioni haja ya kuoa wakati Kila mnachopata kwenye sisi tunapata pia na hatujaoa
 
Utapakwa mafuta.

Utapakwa mafuta.
Yes...ni mkeo ila ni demu wangu kitambo, tangu primary school, tangu akiwa sealed hadi nikaitoa., Umemuona chuo, ukamua kumoa.

Ukiamua kuoa demu wa washkaji, tambua ipo siku atarudi kwa washkaji.

Usipokuwa makini utapakwa mafuta wewe uliyeiba demu wa watu na kuamua kumuoa kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…