Team Janja janja, team kununua cheki ilivyowanunua Wazimbabwe

samsun

JF-Expert Member
Feb 9, 2014
7,386
5,954
Ile timu Janja janja au maarufu kama timu manunuzi,ikiongozwa na msanii wa kimataifa mwenye mbinu za kijanja janja DIAMOND PLATNUMZ alikuwa nchini Zimbabwe (Zim) kwaajili ya shoo moja iliyofanyika juzi (ijumaa) na kuhudhuriwa na maelfu ya wazimbabwe ambao "inasemekana" kuwa DIAMOND aliwalipia kiingilio ili waonekane wengi ktk shoo yake. We unasemaje kuhusu tabia za huyu msanii za kununua mashabiki ..???

Ile timu Janja janja au maarufu kama timu manunuzi,ikiongozwa na msanii wa kimataifa mwenye mbinu za kijanja janja DIAMOND PLATNUMZ alikuwa nchini Zimbabwe (Zim) kwaajili ya shoo moja iliyofanyika jana (ijumaa) na kuhudhuriwa na maelfu ya wazimbabwe ambao "inasemekana" kuwa DIAMOND aliwalipia kiingilio ili waonekane wengi ktk shoo yake. We unasemaje kuhusu tabia za huyu msanii za kununua mashabiki ..???

Haya ni majungu makubwa sana, kwa akiri ya kawaida tu hilo haliwezi kuwa kweli, mtu aende kutafta hela alafu awalipie mashabiki??????
 
Kilicho nisikitisha zaidi ni nilipo pata taarifa kuwa pamoja na Diamond kuwanunua wazimbabwe waingie kwenye show yake haikutosha akawanunua tena wamshangilie.....
Sasa Diamond kaenda mbali zaidi ni majuzi tuu kamnunua producer wa Alikiba bwana Abdady.
Diamond tafadhali punguza kununua maana sasa umebakiza kumnunua Seven Mosha
 
hahahaahahaha team janjajanja tunapost show tu.
 
Kilicho nisikitisha zaidi ni nilipo pata taarifa kuwa pamoja na Diamond kuwanunua wazimbabwe waingie kwenye show yake haikutosha akawanunua tena wamshangilie.....
Sasa Diamond kaenda mbali zaidi ni majuzi tuu kamnunua producer wa Alikiba bwana Abdady.
Diamond tafadhali punguza kununua maana sasa umebakiza kumnunua Seven Mosha
hehehehe seven hawe kubali maan beef yao ndo kula yake
 
Haya ni majungu makubwa sana, kwa akiri ya kawaida tu hilo haliwezi kuwa kweli, mtu aende kutafta hela alafu awalipie mashabiki??????
teh teh hao wote kawanunua na hata kushangilia aliwalipa.....
 
Ommy dimpoz aligusa pabaya sana. Maana neno "kununua" bado linashika hatamu kwa wale walioguswa hahahhahaahaha. # kununua views#
 
Watora mari concert Ambayo mond amelipwa dollar laki mbili imemtengenezea soko Zimbabwe kubwa sana na tarehe 24 atakuepo dar mkesha wa mwaka mpya na crew nzima ya wcb na tarehe 25 itakua iringa uwanja wa samora kama kawaida wcb watakiwasha, tukae mkao wa kula
 
Back
Top Bottom