Team handsome

Team handsome

khaaa..!! kwanza mwanaume mwenye akili timamu unaanzaje kujisifia uzuri!!!

kwa muda mnaoutumia kwenye kioo na poda mnaanzaga kupaka poda ili kuongezea

then whats next...?
 
Kama wewe ni handsome njoo tushehe uzoefu wetu.

Kama mjuavyo pesa inanunua tendo la ndoa baada ya hapo mwanamke anakuwa ajatosheka ila kwetu sisi wanapata upendo kutokana na mwenekano wetu. Wanawake wanawapapatikia wenye magari kwa sababu ya pesa zao tu.

Handsome guys tutaendelea kuiongoza dunia, vizibitisho ni filamu na majarida mbalimbali.

Sasa pindi wakituona watu tunaofanana na walio kwenye filamu na majarida wana tukubali na kututafuta. Wanayafanya yote hayo bila kujali hali ya vipato vyetu.

Kwa hiyo Team handsome kuweni na ujasiri kwa sababu siyo kila kitu pesa inatatua

Zingatia: Wanaweke wengi wanao babaika na magari ni wababaishaji, msichana mwenye mafanikia na anayejitawala anapata mwanaume ampendae.

Team handsome...oyeee!!!!!

Naskia huyu ndo mwenye kiti ..nimeskia tu

attachment.php
 

Attachments

  • 1392709383759.jpg
    1392709383759.jpg
    69.1 KB · Views: 180
Back
Top Bottom