Team handsome

Msandawe Halisi

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2010
Posts
647
Reaction score
351
Kama wewe ni handsome njoo tushehe uzoefu wetu.

Kama mjuavyo pesa inanunua tendo la ndoa baada ya hapo mwanamke anakuwa ajatosheka ila kwetu sisi wanapata upendo kutokana na mwenekano wetu. Wanawake wanawapapatikia wenye magari kwa sababu ya pesa zao tu.

Handsome guys tutaendelea kuiongoza dunia, vizibitisho ni filamu na majarida mbalimbali.

Sasa pindi wakituona watu tunaofanana na walio kwenye filamu na majarida wana tukubali na kututafuta. Wanayafanya yote hayo bila kujali hali ya vipato vyetu.

Kwa hiyo Team handsome kuweni na ujasiri kwa sababu siyo kila kitu pesa inatatua

Zingatia: Wanaweke wengi wanao babaika na magari ni wababaishaji, msichana mwenye mafanikia na anayejitawala anapata mwanaume ampendae.

Team handsome...oyeee!!!!!
 
Uso wa mbuzi mtaponda sana. Binadam tunatofautiana kama sura yako imeekaa kushoto wee tulia utafute mdada mwenye sura kama yako. Habar ya wadada wazur usiongee kabisaa
 
mnapedwa sana na mapedeshee!
 
Reactions: amu
Huku nako kushavamiwa Tayari Mi sura mbovu huku hapanihusu
 
handsome wote wabovu kitandani.....mnafanya mapenzi kwa kujishika shika aku mie

Kama naambiwa Leo nioe mwanamke jamii forum nahisi ningekung'ang'ania mpaka nice we mwanamke au Lara moko
I real luv the way u think aisee can't lie
 
Wazee wa kulelewa.....Aisee katika vitu ambavyo siviangalii kwa mwanaume ni hicho....kama akiwa nacho ni ziada tu lakini awe ametimiza vigezo vingine muhimu...

Vigezo gani?hahahha
 

Hebu tujuze sie tusiojua!! U-handsome ni nini?? Maana mie nilikuwa naamini pesa ndiyo inamfanya mwanaume kuwa handsome!! Pata picha Balloteli angekuwa teja mitaa ya Tandale?? Unamjua Diamond?? Umeshawahi ona picha zake kabla hajatoboa maisha ukalinganisha na siku hizi anavyowagalagaza madada duu wenye vimajina hapa Bongo??

Mie naamini uko stressed na hizo stress zinatokana na maswala ya hela!!! ama umeporwa demu na wenye nazo, ama demu kakukataa coz huna hela thus why unaona kilichobaki ni kujipa moyo kuwa we ni handsome, lakini handsome bila hela jombaa unatafuta kupumuliwa na mapedeshee hapa mjini!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…