kampelewele
JF-Expert Member
- Oct 13, 2014
- 2,998
- 2,414
Masai Dada wewe ni mwanamke wa shoka aise, nakuhusudu ile mbaya kwa kumthibitishia rafiki yangu grafani11 aliyetaka kuni-water down (BOFYA) kwa kudhani mimi ni mzushi. Hongera kwa kuthibitishahahahah
mpaka huddah kakubali kwamba anauza aisee yule jamaa ni noma yaani ila huddah ndo alimuanza alikua anataka kujiona kidume hakuona zari alifyta
aisee wanaume ni nyoko muda mwingine na kaenda kutafuta vizibitisho kwamba walishawahi lala katika ile hotel
kwa hiyo nasubiri usiku huu kinaeza nuka muda wowte
hahaha acha watuongezee siku.....wewe kumpa lift tu mtu unamuanzishia uzi,,,,,,mtu kanunuliwa range for one night shopping inayoeleweka na jamaa alisema huyu huddah simtaki
na huddah alimlilia na anakwambia udhibitiasho anao
tatizo huddah ndo alianza jamaa alikua kashamaliza project yake na diamond kwamba zari aende kwa wanae
haha nimelishuhudia mwanzo wa picha mpaka maandishi
king lawrence ni shidaa kabisa yule jamaa
Jamaa anatafuta umaarufu kwa nguvu zote
Masai Dada wewe ni mwanamke wa shoka aise, nakuhusudu ile mbaya kwa kumthibitishia rafiki yangu grafani11 aliyetaka kuni-water down (BOFYA) kwa kudhani mimi ni mzushi. Hongera kwa kuthibitisha
Kwa bahati mbaya wengine tupo wafuatiliaji. Ni kosa kuzusha na ni uvivu kutofuatilia jambo hadi ukweli ujulikane. UbarikiweMkuu kampelewele i have noted something thanx for flashback. pole sana SUPER BRAND kwa yaliyokupata be care next time.