Yaani we acha tu. Tunavyojitahidi kuvumilia anajua Mungu peke yake Tarehe 4 Aug ndo hiyooo imepita. Hakuna kinachoeleweka, hakuna dalili ya kuwa hayo majina yatachapishwa. Nitawaamini nikisha yaona hayo majina.
Usishangae wakatoa mwakani.hahahaha.
wametoa ngwe ya pili ya kufanya application kwa wale watakaokosa na ambao hawaku apply kabisa so its beta mkawajulishwa wenzenu ambao hawaku apply watest zali