Ambassador JF-Expert Member Joined Jun 2, 2008 Posts 933 Reaction score 78 Apr 22, 2014 #1 Wadau nahitaji tea bags tupu kwa jili ya kupaki product yangu, ziwe za kuseal kwa moto au roll kwa ajili ya kukata na kuseal kwa staple pin. Mwenye kufahamu naweza kuzipata wapi kwa bongo tafadhali anifahamishe
Wadau nahitaji tea bags tupu kwa jili ya kupaki product yangu, ziwe za kuseal kwa moto au roll kwa ajili ya kukata na kuseal kwa staple pin. Mwenye kufahamu naweza kuzipata wapi kwa bongo tafadhali anifahamishe