tcu

tcu

Kirchhoff's

Member
Joined
Jun 1, 2015
Posts
19
Reaction score
0
hacrini wakuu sasa kwa mwenye uelewa anifahamishe ni vigezo gani tcu hutumia kufanya selebtion kama hivi wamemchagua jamaa PGM Petroleum engineering udom jamaa amepanic chemistry hajasoma anataka kuhama nashindwa kuelewa
 
Unatest sumu kwa kuilamba!hayuko serious na maisha.
 
hacrini wakuu sasa kwa mwenye uelewa anifahamishe ni vigezo gani tcu hutumia kufanya selebtion kama hivi wamemchagua jamaa PGM Petroleum engineering udom jamaa amepanic chemistry hajasoma anataka kuhama nashindwa kuelewa

Kama anataka kukimbia kisa tu hajasoma chemia basi huyo ni BRN tena kilaza, siku zote inaaminika kwamba mtu aliyesoma science ana uwanja mpana sana kutokana na ujazo wa masomo yenyewe, nimeshuhudia PCM anasoma law, Udaktar, PCB, PGM, CBG anasoma accounts & finance na anawazid ECA.... Kama kweli alifaulu kwa juhud zake mwenyewe mm naamini uwezo wa kusoma hiyo course anao ili mradi atie juhud tu,.. Tatzo BRN inawapa matokeo ambayo Hamstahili ndio maana mnakuwa waoga waoga hamjiamini.
 
hacrini wakuu sasa kwa mwenye uelewa anifahamishe ni vigezo gani tcu hutumia kufanya selebtion kama hivi wamemchagua jamaa PGM Petroleum engineering udom jamaa amepanic chemistry hajasoma anataka kuhama nashindwa kuelewa

kwan petroleum eng wanasoma chemistry tu tafuta prospectus ya chuo uangalie content ya hiyo coz
 
Back
Top Bottom