Aisee, imesemekana jana hawa jamaa wamekuwa hacked. Link hii hapa! http://nyepesi.com/2011/08/16/tovuti-ta-tcu-go-tz-tcu-yawa-hacked-majibu-yamechakachuliwa/ kweli hii taaaaaabu tupu!<br />
<br />
''Katika hali inayozidi kuonyesha hali legelege katika taasisi ya TCU , tovuti yao ( tcu.go.tz ) imekuwa hacked na hackers wanaodai wanatoka India.<br />
Hii imepeleka watu wengi kujiuliza kama majibu ya waliochaguliwa kuana chuo yapos salama, pia watu wanasema ndo maana TCU wameshindwa kutoa majibu kwa muda unaotakiwa.<br />
Kuna uwezekana mkubwa kuwamajibu yamechakachuliwa au yamefutwa kabisa na hackers hao!''