Henry Temu
Member
- Aug 11, 2012
- 85
- 22
Ingia kwenye website yao uangalie
man mbona huelewek....au ndo ume ku-ru-pu-ka....Ingia kwenye website yao uangalie
acha kuwapa wa2 presha, mbona hawaja toa new link yoyotembona hamna kitu!!!!1
Ingia kwenye website yao uangalie
sory sikujua kama ni junior member...ila kwa msaada tu ni kwamba kuwa na facts kabla hujaweka kitu humu jf,,hii sio facebook,au kijue cha wanywa kahawa au wanywa pombe mchana fikiri kabla hujatenda na uwe na uhakika na usemacho sio kusikia story kwenye haice afu uleta humu!!!KARIBU SANA JF(home of great thinkers) MKUU,UKILETA ZA KULETA BAN INAKUHUSU!!!!!!Ingia kwenye website yao uangalie