et jaman wadau nlikuwa not selected first round tena kwenye kozi nioizoomba lakini Leo nashangaa UDSM wametoa majina ya waliodahiliwa na LA kwangu lipo afu huku nishafanya reapplication sasaa hawa nashindwa kuwaelewa kabisaaa
Daaah na saiv profile yangu nikiingia haioneshi zile selection za second roundNdo maana hata siku ile nilikwambia kwa matokeo uliyotoa siku ile haikuwa rahisi kutokuchaguliwa. nikakupa matokeo ya dogo angu mwenye CCD na nikakweleza kuwa alipata Civil UDSM, sasa hailuwa rahisi wewe kukosa
Duuuh mkuu kwanza hongera kwa kuchaguliwa, lkn c umechaguliwa course uliyoomba? M naona hapo hamna tatzo kabisaet jaman wadau nlikuwa not selected first round tena kwenye kozi nioizoomba lakini Leo nashangaa UDSM wametoa majina ya waliodahiliwa na LA kwangu lipo afu huku nishafanya reapplication sasaa hawa nashindwa kuwaelewa kabisaaa