Amon Mtekateka
JF-Expert Member
- Jun 4, 2014
- 1,225
- 333
Source mkuuWamesema yatatoka baadae
Na kama n baadae n ya saa ngap
Source mkuuWamesema yatatoka baadae
Mimi nimo kwenye hao[emoji137] [emoji137] mwanzo kitu kimeonesha baada ya mida najirefresh nakuta not found [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Hii ngoma kweli ni noma maana wengi jana walidai walifanikiwa kuona selections zao....lakn mara baada ya muda tcu wakafanya yao kuyatoa
[emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]Ucjal tutatengeneza ndege mwaka 3000