UsiombeUbuyu haumumunyiki pale ukikutana na neno applicant not found

Kwel au people wanazinguaJamani mwenye Taarifa kuhusu TCU atupe ubuyu bas
Ni shidaaaaaHapa npo hoi na mawazo du nishda
Ubuyu haumumunyiki pale ukikutana na neno applicant not found
Not found. MeansUbuyu haumumunyiki pale ukikutana na neno applicant not found
Una uhakika gani mkuuNot found. Means
Hayumo kwenye idadi ya waliopata chuo
Ndo maana ya neno hilo mkuuUna uhakika gani mkuu
Sasa kwan imesha tangazwa rasmi kwamba selection zimeshatoka?halafu pia ile ni nacte usilete mambo ya nacte kwenye tcuNdo maana ya neno hilo mkuu
Uliza walio omba nacte wakakosa walikuta Ujumbe gani!!!....!
Ucjal tutatengeneza ndege mwaka 3000Yaani hii inchi nadhani aliiroga tayari kashakufaga
Kama jambo dogo tu kama hili la udahili linatusumbua
Je tutaweza kutengeneza ndege zetu kweli????
Sent from my TECNO F5 using JamiiForums mobile app