TCU wanatoa lini majina ya second selection?

Et mtu na division2 yako unatoa macho kuona ka utachaguliwa second slection au la!!!!
Tatizo liko hapo! Ulipoona una division 2 ukadhani kuwa unaweza kuchagua kozi yoyote kwenye chuo chochote!
Kimsingi division 2 hakupaswa aangukie kwenye second round kama angekuwa makini kwenye first round!
 
True ila inauma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…