Msaada kwa hili

Afyayaakili

JF-Expert Member
Sep 12, 2012
903
1,175
Nilichaguliwa st joseph dar kimakosa sababu mi nimepiga arts,lakini baadae nikaenda tcu wakaniambia wamenibadilisha niende Udom Baed in ICT lakini profile yangu bado inaniandikia nipo admitted st joseph na chuo cha st joseph wamenitumia joing instruction kwa njia ya posta.Na kinachoniumiza zaidi nikitaka kulog in kwenye website ya udom ili nipate admission letter inagoma,ushauri wenu washika dau wa jmf.
 
JE UMEPENDA KWENDA KUSOMA UALIMU??? au umeenda kwa ajili ya bando(boom)...sasa ni hivi kama hujapapenda nenda zako tu st joseph..ni sehemu nzuri hasa kama utaenda soma maswala ya it na comp science...ila yote kwa yote cheki nini au wapi unapapenda zaid...then go for it!!!!
 
Kama vp ungefanya mawasiliano na udom vingnevyo hao tcu waweza kuta walikuzingua, wewe wakomalie udom upate ukweli uko wap?
 
Back
Top Bottom