TCU wametoa tangazo rasmi 3rd round aplication

ooi.... inakuwaje ukichek kwenye view selection hfu unkuta (-) au zero bro.. wanakuwa wamekupga chini nn kwa hyo facurt???

hata mm kuna moja nomeikuta onasoma 0 okanbd no remove.... cjui ndo kujaa au?!
 
je inawezekana mtu wa pcb kusoma education ya mathematics???? au education with commerc,,,,?
 
daaaaaah kwa hyo faculty ikishuka mpaka zero in slots wat does it mean it means umetemwa kwa hiyo faculty au????? sbb mm faculty moja inasoma 0 remaining capacity so sielew n third round
 
daaaaaah kwa hyo faculty ikishuka mpaka zero in slots wat does it mean it means umetemwa kwa hiyo faculty au????? sbb mm faculty moja inasoma 0 remaining capacity so sielew n third round

kunajamaa alichagua ajuco,,, thrd round anadai saiv profile yake imekuwa provisional selected sa sielewi
 

Naomba msaada wakuu nimepata banking na finance IFM lakini ninataka transfer to IAA though wakati najaza ilikuwa inakataa kuwa sijasoma one of the core subjects kama economics course me nimesoma pcb form six je naweza pata transfer,,help please
 
huyo jamaa alikuwa ameweka faculty moja au? aliyekuwa provisional selected
 
Naomba msaada wakuu nimepata banking na finance IFM lakini ninataka transfer to IAA though wakati najaza ilikuwa inakataa kuwa sijasoma one of the core subjects kama economics course me nimesoma pcb form six je naweza pata transfer,,help please

Transfer kupata cjui kwasababu wanaeza tupia mbali ombi lako la transfer kwa kigezo hicho hicho bt try,

ila kwanini unataka kuhama IFM wakati hapo kwa mambo ya accaunt ndio kigongo, yan the top according to vijana wa accaunt wanavyosema

Hiv vyuo viwili huwa vinashindana kwa kutoa vijana waliopo bright ki academic,so pia jina la chuo linawauza kwa maana nyingine

Lakin nikiangalia hata makamanda wangu wengi waliopiga diploma hapo IAA ambao saiv wameapply wanapataka sana hapo IFM, 90% wamekipa hcho chuo priority kubwa thn wakamalizia na IAA

Ila co vibaya ukifanya maamuzi binafsi coz hata mm cjui sababu yako kupataka hapo IAA
 
ooi.... inakuwaje ukichek kwenye view selection hfu unkuta (-) au zero bro.. wanakuwa wamekupga chini nn kwa hyo facurt???

Kwa detail ambazo ninazo na ninahisi itakuwa ndivyo ilivyo ni hivi

Hiyo (-1 au -2) kwenye vyuo ni kwamba wamezidisha mtu mmoja au watu wawili, means ile holding capacity ya watu katika faculty huusika imezidishwa
Wanataka watu 100,wenyewe wamepokea 101 au 102
 

na 0 inkuwaje broo


 

Thank you_i guess ntabaki hapa kama ndo ipo ivoo.Thanks again for the advice be blessed.
 
Sawa mkuu, vip kama kwenye profile langu, kuna baadh ya vyuo vnasoma (-) au (0) inamaana kwamba cjachaguliwa kwenye hivyo vyuo?
 
wadau habarin,me nilichaguliwa second raund pale TIA,lkn majina ya waliochaguliwa tia yametoka halaf langu halimo,msaada wakii
 
na 0 inkuwaje broo

Ukiona zero means zile remain capacity zilizokuwa zimetangazwa na chuo husika zimepata watu so zimejaa na chuo hakihitaji zaidi,na kama watachukua zaidi ya idadi ya watu waliowahitaji ndio ile unakuta negative number (-1)
Ila haina maana kwamba haujachaguliwa au ndio100% umechaguliwa

Hapana,
unaeza ukawa ni mmoja wapo kat ya wale walioifanya isome zero (means umechaguliwa) au compitition ikawa kuwa so wenzako wakakuzidi kipoint (means haujachaguliwa)

Nakumbuka makamanda wangu wa diploma wachache katika mchakato wa kuchagua vyuo, zao zilisoma zero kila choice ila mbele ya remaining capacity kulikuwa na column ya status (kwamba bwana ww upo selected hapa) licha ya kusoma zero

Ila kwa makanda wa six zao hazikuwa hivyo, wao ilikuwa wait for approve,
So kula bata mkuu wala ucwe na wasiwasi abt zero, inaeza ikawa ww n wa wait for approval

Mwaka jana round zlkuwa mbili,na wanafunz walioenda advance walikuwa 30000 kwa waliochaguliwa na serikali ila nyie mliwazidi kwasababu milikuwa 50000 na chenchi nyingi sana,sasa hapo bado wale walioghahiri kwenda chuo kwa mwaka jana wakaamua kujiunga na nyie,

So kuona 3rd round wala ucshangae,kula bata sana mkuu,kwa walioapply mwaka huu mnaeza kuwa zaidi ya elfu 60 au 70 huko (y? Tcu icweke 3rd round ambayo haiwaupdate kwa status papo kwa hapo? Majukumu mengi,n vema ukajiongeze tuh mwenyewe mkuu)kwan Tsh ngapi kujiongeza?

Nawasilisha
 

upo vzur sana mwana asnte kwa mawazo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…