mapunda kaka apo wamesema thos hu ar nt selected first and second sasa sisi tulioambiwa waiting for aproval niaje msaaada jaman
Msaada jamani kwenye profile zetu wamesema select UP to 5 programme na kwenye tanagazo lao TCU wanasema select ONLY ONE programme. sasa tufanye lipi wadau saidieni
Mwsho Tarehe Ngapi?
mapunda kaka apo wamesema thos hu ar nt selected first and second sasa sisi tulioambiwa waiting for aproval niaje msaaada jaman
Msaada jamani kwenye profile zetu wamesema select UP to 5 programme na kwenye tanagazo lao TCU wanasema select ONLY ONE programme. sasa tufanye lipi wadau saidieni
Jamani mimi ni muanga wa 3rd round naomba kuuliza tumeambia tuchague kozi 5 vp nikichagua moja nitapata chuo ?.pia napenda kuuliza je hii round kuna wadahiliwa wataachwa bila kuchaguliwa msaada tafadhali kwa anaefahamu nawasilisha wakuu
Jamani mi naomba niulize wamesema 3rd tunaomba kozi tano je mm nikiomba 1 nitachaguliwa?.je kuna watu hii round wataachwa nawasilisha msahada tafadhali
Jamani mimi ni muhanga wa 3rd round naomba kuuliza tumeambiwa tuchague kozi 5, vipi nikichagua moja nitapata chuo?. Pia napenda kuuliza, Je! Hii round kuna wadahiliwa wataachwa bila kuchaguliwa msaada tafadhali kwa anaefahamu.
Nawasilisha wakuu
Mkmuu naomba nijibu kulingana na upepo wa tcu unapoelekea,
kwanza ucwaze kuhusu kutokuchaguliwa 2nd round, kunaraiya huku wana +B masomo yote na walijaza vzur ila wamepelekwa 3rd round
Na miongoni mwa faculty 4 kati ya zile tano walizozijaza, pia wamezikuta huku kwenye slot znazohitaji applicant, sasa unaeza jiuliza why hakuchaguliwa? Take it easy hii n tanzania
Tuje hapo kwenye kujaza slot chache,
nishauri tu kiroho safi kabisa, jaza slot zote tano kwasababu miongoni mwa wa2 waliotemwa kwenye 1st & 2nd round ni wale ambao hawakujaza slot zote tano (kama unataka ushahidi wa hili ingia kwenye page ya tcu utakutana nalo)
And thn, nipo hapa ninawaangalizia makamanda wangu wengi profile zao, na miongoni mwa wale waliojaza facult tano zenye remain capacity 31-33 now znasoma zero, means zimejaa (hapo nazungumzia hii 3rd round)
Na jana ucku niliangalia idadi ya slot zlizokuwa wazi/znazohitaji wanafunz nazo zilikuwa 489 ila kwa sasa zipo 460 means znaendelea kujihide automatic kwa jnc znavyoendelea kujaa
So ww jaza hzo slot tano hata kama course hauitaki ukifanikiwa kuchukuliwa utaenda kubadilishia huko huko chuoni ila umake sure kwamba faculty unayoichukua ya chuo husika ambayo hauitaki (ndan ya hicho chuo kunayo faculty unayoitaka)
Nawasilisha mkuu.....
den'x kwa maelezo mazur... brooo
One.love apollo jr
(Upo jr ya chugga nn mkuu. ?)
Hahaa oky
nimekusoma