Ni bora ungesubiri oficial information
Sio kweli kwenye website yao sija ona taarifa yoyote ya kuwa mda wa ku apply chuo umeongezwa bado ipo ile ile ya deadline aug 31
Hahaa ongeeni ila mjue vyuo vingine washapata post. Mfano makumira tayari
Jamaan samahani ni kweli tcu wameongeza muda mpaka tarehe 06/09/2014??? Je ni kweli au ni taarifa za uwongo??
Nyie jifanyeni wajuaji medit then myakoroge kabisa wakutoe kwenye system kuaply hadi next year muhimu kama mmeambiwa mwisho ni 31 agst basi eleweni hivyo otherwise mpate offical statement from TCU..
Talk from my experince
Jamaan samahani ni kweli tcu wameongeza muda mpaka tarehe 06/09/2014??? Je ni kweli au ni taarifa za uwongo??