Tcu vs No username or Password match

Tcu vs No username or Password match

katunzi89

Member
Joined
Feb 4, 2013
Posts
16
Reaction score
9
nmepewa na password na username nikilog in inakataa inasema
"No Username or Password matched your Entry, Check your Email box for correct Username and Password (Code 1009)"
msaada...
 
Attachments

  • tcu.png
    tcu.png
    19.1 KB · Views: 114
Hiyo website uliyoingia ni ya TCU au NACTE? mbona ni ya NACTE nadhani Kama umesahau ucheki kwenye Email yako uliyojisajili nayo huwa wanatuma huko kama haionekani ingia kwenye spam ya Email yako.
 
HATA UKIINGIA NACTE AU TCU SAWA ZOTE KUNA CAS HAPO TATIZO UMEKOSEA PASSWAORD AU USERNAME
 
sana sana password ndo utakuwa umekosea coz username ni namba yako ya sec na mwaka uliomaliza bas so angalia vizur password yako ndugu
 
nmepewa na password na username nikilog in inakataa inasema
"No Username or Password matched your Entry, Check your Email box for correct Username and Password (Code 1009)"
msaada...
Kama una apply kupitia tcu ingia kwenye website yao alf chagua cas then ingiza hyo username na password
 
Back
Top Bottom