From Tarehe 31 July, to tarehe 8 August then Tarehe 15 August unakusudia Kutwambia TCU hawajui Wanachokifanya au??
Kwasababu Ratiba ya Mtihani Wa RPL wanapanga Wao TCU, na Hizo Tarehe Za Application Wanapanga Wao TCU, sasa unataka Kutwambia walipo Panga hile Tarehe 31 walisahau Kuwa Kuna Mtihani Wa RPL?? 8 je? na 15 je? Mbona Haiingii Akilini..!!!