TCU sipendagi ujinga mimi!

TCU sipendagi ujinga mimi!

kwane we mtu wa wapi!?tuambiane kabisa tujue uamuzi wako kabla hujasema.
 
Kwa haya mawazo yako na suggest ata chuo usipangwe hufai kusoma elimu ya juu rudia tu shule ya msingi kaakaaaa
Daah mkuu majibu yako ya kashfa siku izi umesaau na ww ulikosa xm Mungu akaziona thread zako za kutishia uruma ukapata kima zabe xx unavo dharau wenzio kweli maskini akipata
 
Uzi huu umejaa watu wa facebook na whatsapp! Pumba kwenda mbele!
 
Mwisho n ijumaa ya wik hii Kama awatatoa nawakuta ofisin kwao.
sipendagi ujinga mm
Bodi mpya imetambulishwa jana lakn malalamiko ya miaka iliopita yako vilevile, sasa sielew hawa waliochaguliwa wametatua nin?
Mpaka leo watu hawajui ata second round inamwagika lin sasa hii c ajab.
Alaf mda mwengne mkumbuke hii n nchi sio kijij
Tulia mkuu hawajaapishwa bado
 
Back
Top Bottom