ww umepangiwa teku au st john au kiu mbna unakazania kuwa watachange vyuo kama unataka ukwl waulze watu wa mwaka jana k2 cha udsm kilvuja mbna tcu hawakuchange vyuo
natamn pia kujua wap chuo nimepangiwa...ooooooh lord be on our side kwa kila kituuuuu.....think i cant tak t in mo :disapointed::disapointed::disapointed::disapointed::disapointed::disapointed::disapointed::disapointed:
ww umepangiwa teku au st john au kiu mbna unakazania kuwa watachange vyuo kama unataka ukwl waulze watu wa mwaka jana k2 cha udsm kilvuja mbna tcu hawakuchange vyuo
kama mnakumbuka vzur mwaka jana selection zltangazwa na tcu tarehe kama hizi kwaiyo wait 4 offcial annoncment ila 2liowah kujua 2mepangwa wapi mambo ni yale yale[/QUOT
Kitu ni kile kile cha airtel yatosha hakuna mabadiliko yoyote, kuna majina ya madogo kama watano niliwangalizia akiwemo dogo langu na wote wamechaguliwa hivyo vyuo na kozi husika TCU WALIBUGI MEEN.