wanajamii mbona hamtupi maujanja walioapply under diploma qualifications wanaapply kwa njia gani?manake wao ni tofauti,username walitumia email then password option ambayo hapa haiapply,tusaidieni waungwana