TCU selection

TCU selection

Gray Ze Don

Member
Joined
Aug 18, 2013
Posts
36
Reaction score
3
Wapendwa poleni na majukumu ya kila siku. Naombeni msaada jamani, eti selection za first year undergraduate zishatoka?
 
bado kwa sasa wanaomba waliokosa vyuo mwisho wa kureply ni 30/9
 
Mbona kuna mkanganyiko wengine tar 18 wengine 30.ipi ni tarehe sahihi wadau?(ila kwny tangazo lao walionyesha tar 30 mwisho)
 
subirini_ bhna kan bado mna pressure au saiv ndo mizuka...!!?
 
tarehe 30/8 ilikuwa ya awam ya 1 awam ya pili mwisho ni leo
 
tarehe 30/8 ilikuwa ya awam ya 1 awam ya pili mwisho ni leo

tunabishana nin wakati tcu wameandika katika www.tcu.go.tz kuwa mwisho wa reapplication ni 30/9 sas wansobisha cjii wametoa wapi hiyo taarifa mcchanganye mambo na wale wa nacte wanaomba education wao ndo wameambiwa mwisho leo
 
Back
Top Bottom