Asante sana...!inategemea na idadi ya watakaokosa, ila baada ya round kuisha ili kuhakikisha hakuna atakaekosa chuo na ana vigezo huwa inakuja ile first come first basis yaani unakuwa selected by just a single click system inakucheck eligibility ukifit unapata ukijichanganya ukaomba coz ya ajabu ndo inakuwa imetoka hakuna kurudii
Kama mtu hutaki kujibu swali la mwenzio basi soma post yake halafu iache ila siyo kutoa majibu yasiyo na tija kwa muuliza swali.Uyu aliejibu ad 70 yeye yupo ofisi za TCU au




Acha utani mkuu utamwagiwa maji ya mcheleselection tayarr![]()
Nani kasema?selection tayarr![]()
Hamna kitu watu wameanza kupatwa na majbNani kasema?