wanajamii hebu nisaidieni hapa!mwanzo prog zang zilkuwa nane,bt baadae nlipologin nikakuta sita(TOTAL RECORDS 6),Kwa maana mbl za mwanz hazipo,sasa ni nn maana ya hii k2?au ndo kusm kuw ktk zile mbl za mwanz mi simo tn au ndo zp kweny mchakato wa kushindanishwa na nilioomba nao?tuwekane sawa wana jf.