tcu sasa hapa mmetutoa gizani lkn..

tcu sasa hapa mmetutoa gizani lkn..

xhmudar255

Member
Joined
Feb 7, 2017
Posts
15
Reaction score
5
kufatia tangazo la bodi ya vyuo vikuu kuhusu admission 2017/18 sasa kidogo mmetufungua macho..lakini tatizo ambalo hamjaongelea kabxa ni bei ya form za application kutoka higher learning institutions kuna baadhi ya vyuo form ni mpaka 50,000 lower price nmeona 20,000 malofa tutaweza apply chuo zaidi ya kimoja!!?

kingine msaada apa je nikiwa na haya matokeo naweza itumia hiyo D kwa sababu principal pass zipo tayari.. matokeo ni ya 2o14..
78107c4d222202e11c4eac413661363c.jpg
? naatachi picha

Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
 
Gharama ya form au application kila chuo kitajipangia (TCU kuna wakati nilisikia wakisema watatoa bei elekezi lakini mpaka sasa hivi wako kimya). Ukiomba chuo kimoja kama huna ufaulu wa juu ni sawa na kujipalia makaa.
Kwa hayo matokeo yako itabidi ueleze ni ya mwaka gani na unaomba chuo gani ili upate ushauri kama yanatosheleza.
 
kufatia tangazo la bodi ya vyuo vikuu kuhusu admission 2017/18 sasa kidogo mmetufungua macho..lakini tatizo ambalo hamjaongelea kabxa ni bei ya form za application kutoka higher learning institutions kuna baadhi ya vyuo form ni mpaka 50,000 lower price nmeona 20,000 malofa tutaweza apply chuo zaidi ya kimoja!!?

kingine msaada apa je nikiwa na haya matokeo naweza itumia hiyo D kwa sababu principal pass zipo tayari
78107c4d222202e11c4eac413661363c.jpg
? naatachi picha

Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
Unaijua iyo comb au maana b ya uchumi c geog d math .hongera

Sent from my Vodafone 875 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom