frictional
Member
- Aug 2, 2015
- 20
- 0
Wanajamvi Nmefanya application juzi TCU , ila nmekosa chuo.
Nmesoma PCB nna point sita yaani phys D chem B na biol C.
Mpangilio wangu wa vyuo ulikuwa hivi.
1.maabara (muhas)
2.environmental science and management (ardhi)
3.interior design (ardhi)
4.food science (udsm)
5.fisheries (udsm)
Ila cha kushangaza nmekosa first round!! Nkaambiwa nfanye second round! Ila cha ajabu zaidi nkakuta kozi ambazo nliziomba kama vile INTERIOR DESIGN & FISHERIES zimebaki.Nkachagua tena kwa Mara ya pili INTERIOR DESIGN ya ardhi.
Sasa wakuu ni kweli priority tano tunazochagua TCU wanazifanyia kazi?