TCU!! Ni kweli priority tano tunazochagua mnazifanyia kazi?

Naona utekelezaji umekuwa with immediate effect.
 
Attachments

  • TCU.PNG
    TCU.PNG
    22.8 KB · Views: 33
Akili yako finyu unafikiri chuo ndo kila kitu watu tumesoma South Africa tumemaliza tunaendeleza harakat, unaona chuo kikuu ndo maisha bado sana maliza uone

Sent from my TECNO-Y6 using JamiiForums mobile app
ahaaa hii sio vita na jukwaa la elimu mambo ya udaku peleka chit chat kama unafikiri elimu si ktu kaa na elimu yako ya sauz utakula bachelor
 
ahaaa hii sio vita na jukwaa la elimu mambo ya udaku peleka chit chat kama unafikiri elimu si ktu kaa na elimu yako ya sauz utakula bachelor
Tunaelimishana tu mkuu kwamba elimu maisha ndo kila kitu na sio elimu shule, watu wanaenda shule ili waelimike wamalize nashangaa unavyoisujudia udsm, je ungesoma Mandela si ndo ungehamia kabisa
 
Tunaelimishana tu mkuu kwamba elimu maisha ndo kila kitu na sio elimu shule, watu wanaenda shule ili waelimike wamalize nashangaa unavyoisujudia udsm, je ungesoma Mandela si ndo ungehamia kabisa
mcheza kwao hutuzwa forget about mandela nenda kasikilize nyimbo ya TEKNO-RARA
 
Back
Top Bottom