ommky
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 459
- 225
kama wamepunguza GPA from 3.5 to 3.0 kwa diploma holder, pia ni bora wangepunguza izo D to E kwa form six ili watende haki sawa kwa wote, na hata wakipunguza is already to late, ila kuna watu bado wana suffer wanataka ata fani ya ualimu, sasa hii elimu sio static/constant kila siku marekebisho ya kisiasa ndani ake, kuna three nzuri mtaani zimeachwa mfano tatu ya kumi na nne D,E,E tena za sayansi kisa kuingiza siasa kwenye elimu. tutaona mwisho wenu tcu kama sio sasa ata mwakani....